PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani nihivii hao police nilazima tupite nao , itakuwa ni dharau sisi kuwa under pressure na kunguru hawa ambao wengi wao tunawahifadhi kwenye nyumba zetu leo eti ndiyo watubwekee, No ,haitakaa itokee
Hizo ni chuki zidi ya polisi hapo polisi wanakosa gani wao kazi yao kuzuia uharibufu usitokee nyinyi hamtaki ety kwa Nini polisi wanatuzuia sisi kufanya uharibufu tumia akili bro ipo siku na wewe utapoteza
 
Siku ukipata shida mtoto wako au mkeo au ndugu yako kubakwa au kuuliwa utasema naenda polisi kushitaki Leo unasema tuwauwe na siku ukivamiwa nyumbani kwako na majambazi au vibaka mbio polisi kutoa taarifa duniani kote Kuna polisi na wanaheshimu kazi za polisi
Ni kazi yao na wanalipwa kwa ajili hio, sio kuuwa innocent young men. Usiwe mjinga
 
Nimeona Mange kasema tuandamane kwa amani hivi kweli polisi watatuachia tuandamane Kwa amani mpaka ikulu tukamtoe bosi wao Ili wao wakose kazi hili jambo halipo ni asilimia 100% polisi watapiga watu risasi tarehe 9 hamnaga amani kwenye kumtoa mtu Africa madarakani kanisani Kwa gwajima walikua na mabango na wakapigwa mabomu ya machozi na wengine kuumizwa Kwa kupigwa kama mbwa tusijidanganye
 
Nimeona mange kasema tuandamane Kwa amani hivi kweli polisi watatuachia tuandamane Kwa amani mpaka ikulu tukamtoe bosi wao Ili wao wakose kazi hili jambo halipo ni asilimia 100% polisi watapiga watu risasi tarehe 9 hamnaga amani kwenye kumtoa mtu Africa madarakani tusijidanganye
Muendelezo wa vichekesho vya Africa.

Maandamano ya Amani ni ya kumsifia mkoloni mweusi tu. Yale ya kumpinga yanajulikana kama vurugu,taharuki na adhabu yake ni bunduki na kesi za uhaini😂!
 
Muendelezo wa vichekesho vya Africa.

Maandamano ya Amani ni ya kumsifia mkoloni mweusi tu. Yale ya kumpinga yanajulikana kama vurugu,taharuki na adhabu yake ni bunduki na kesi za uhaini😂!
Eti kabisa polisi watuache tuandamane Kwa amani mpaka ikulu tukamtoe bosi wao hahaha hii ni maajabu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwan mkuu wewe si umeshasema hauandaman mbona sasa unapga sn kelele khs 9D si ukaushe tu wanaotoka watatoka, maana watu hawakutoka walifuatwa majumban kwao wakauawa kikatili sn wengne walitoa taarifa uhalifu polisi walipofka wakawapga risasa watu 8 wasioandamana labda sku iyo uhamie burundi tu maana utoke ustoke kubak na roho yako ndan ya mwili ni probability.
 
Mbona hasira mzee Mimi nimesema siwezi kuandamana kindezi bila bunduki kiunoni siku hiyo nikikosa bunduki nitalala siamini kwenda mikono mitupu mbele ya askari wa Africa hii
 
Eti kabisa polisi watuache tuandamane Kwa amani mpaka ikulu tukamtoe bosi wao hahaha hii ni maajabu🤣🤣🤣🤣🤣
Naona watu wanavyopeana moyo eti mabango ndio yatafifisha nguvu ya askari 😁! Wale wanafanya kazi kwa amri na sio utashi. Wakiamuriwa wauwe wataua tu bila kujali.

Mtaachwa msogee tu ila mkifika Fire ndio mwisho watakaosogea DIT tu watashushwa kama mipapai na sahizi wanaweza wakajificha magorofani ili msiwaone live waliowatungua kisha kesi ikaangushwa kwa raia wema walioamua kujilinda dhidi ya uharibifu wa mali zao.

Huku sio ulaya jamani ni bara la giza.
 
Naona watu wanavyopeana moyo eti mabango ndio yatafifisha nguvu ya askari 😁!

Mtaachwa msogee tu ila mkifika Fire ndio mwisho atakayesogea DIT tu watashushwa kama mipapai na sahizi wanaweza wakajificha magorofani ili msiwaone live waliowatungua kisha kesi ikaangushwa kwa raia wema walioamua kujilinda dhidi ya uharibifu wa mali zao.
Unajua watu wanaleta mzaha na haya majitu eti maandamano ya amani hivi unafikiri tarehe 29 watu walianzaje vurugu si baada ya haya majitu kuua na tarehe 9 ndio itakavyokua we jiulize kanisani tu kwa gwajima watu wanamabango na walikua wanapiga mabomu
 
Unajua watu wanaleta mzaha na haya majitu eti maandamano ya amani hivi unafikiri tarehe 29 watu walianzaje vurugu si baada ya haya majitu kuua na tarehe 9 ndio itakavyokua we jiulize kanisani tu kwa gwajima watu wanamabangobwalikua wanapiga mabomu
Hao jamaa ndio wataoanzisha vurugu baada ya kurusha mabomu kwa waandamanaji. Kiufupi bila silaha za kujihami hio 9D ni bora ukae zako kwa kutulia tu nyumbani.
 
Mbona mulishindwa kujilinda wakati watu Mali zao zinaibiwa na maduka yao kuchomwa moto acheni upuuzi kisa wewe hakuna ulichopoteza unashawishi ujinga sawa safari hii lazima na wewe u
Unauza hofu ukiwa mtaa Gani,this time jini wenu anakimbia nchi
 
Hao jamaa ndio wataoanzisha vurugu baada ya kurusha mabomu kwa waandamanaji. Kiufupi bila silaha za kujihami hio 9D ni bora ukae zako kwa kutulia tu nyumbani.
Kilichofanyika tarehe 29 mpaka 3 ilikua ni sahihi kabisa zile ndio njia za kumtoa madarakani kiongozi uchwara wa Africa ila walikosa silaha tu wakajikuta wako uwanja wa vita na mawe wenzao wanabunduki vitu viwili tofauti tarehe 9 raia wasifanye masihara wasimsikilize mtu yeyote anaesema wabebe mabango bila silaha mfukoni. Ni hatari sana sababu mnajikuta hamna Cha kujitetea
 
Hizo ni chuki zidi ya polisi hapo polisi wanakosa gani wao kazi yao kuzuia uharibufu usitokee nyinyi hamtaki ety kwa Nini polisi wanatuzuia sisi kufanya uharibufu tumia akili bro ipo siku na wewe utapoteza
Kosa lao ni kupokea Amri ya kishenzi ya kuua raia. Wangewatandika virungu tu ili wasisogelee fremu za watu na wasalie barabarani.
 
Back
Top Bottom