Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #921
Chalamila, Muliro,Samuya hawakujua kama watanzania wangetokaMwanzo ulibeza kuwa hawawezi kuandamana Sasa Leo tunaongea lugha nyingine. Cha misingi serikali iwasikilize na kutafuta maridhiano. Ubabe , kamatakamata na kufungulia kesi vijana haitatibu tatizo.