PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
...
Usijustify ujinga kwa kutumia ujinga, kuua raia kwako wewe ni jambo la kawaida tu namaanisha wewe kumuua mtu kwako ni jambo la kawaida tu yaan unaweza kuua vizuri tu?
Mkuu achana na huyo kichaa nyumbu, bila maandamano hawa Ccm watatuzoea sana.. ila mkuu ila tumaandishi unatotumia hatujakaa kijanja..
 
Oy kama kwenu wanakupenda lala ndani kwa kutulia. We ka kwenu sio tegemeo umeamua kutoka kuiba na kupora tokea nje kwa riot uone vile wahuni hawana huruma na wezi na majambazi. Ni chuma tu.
Nb.
Tarehe 10 Dec itakuwa siku ya kutia huruma kutoka kwa Mange kwamba wezi wameonewa wamelambwa chuma.
Huna jambo Kaa kwa kutulia
 
tafuta post yangu ya tarehe 29 nilisema watu wataanza kulia soon na kweli wamelia, ungekulia kwenye mfumo ndo ungekuwa unanielewa , ndugu hakuna mapinduzi Tanzania kamwe njia pekeee ni kuzungumza tu
Mapinduzi yako na yatatokea. Tarehe 29 ilikuwa ni hatua ya awali
 
Wale wenye biashara zenu mjini kabla ya 9/12 mzitoe wananchi wataingia vitani na nawaomba mvumilie nchi ndio inapona.

Niwe tu muwazi kila mmoja anajua watanzania waliouwawa wananchi wengi wana hasira sana hali haitokuwa ya kawaida. hii itakuwa ni kubwa kuliko iliyopita.
Kwanini mnataka kuwapa lawama jeshi la polisi?
 
Wale wenye biashara zenu mjini kabla ya 9/12 mzitoe wananchi wataingia vitani na nawaomba mvumilie nchi ndio inapona.

Niwe tu muwazi kila mmoja anajua watanzania waliouwawa wananchi wengi wana hasira sana hali haitokuwa ya kawaida. hii itakuwa ni kubwa kuliko iliyopita.
Hakuna paka wamshinda Bucherman Mafwele!! Jiandaeni kuchezea shaba tena
 
... hapana, tunaomba maandamano yenu ndiyo yaondoshwe mjini, MTAFUTE AWANJA UNAOWAFAA KWA AJILI YA MAANDAMANO, MTUACHIE MIJI YETU!
Madogo wamekosa uhalali wa kuandamana kwa sababu ya kuleta ujinga mtu anasema atakuwa na silaha sasa huyo akiuawa watasemaje waliobaki kwamba kaonewa? Maana wanasema watakuwa na silaha
 
Njooni na mawe yenu. Police force ipo pale kwaajili yenu. Polisi msicheke na hao mbuzi wanaohamasishana kuja na bunduki, mishale na mapanga. Amri hiyo siku ni moja usiandanane! Hutaki andamana uiletee familia Yako vilio na majonzi
 
Wale wenye biashara zenu mjini kabla ya 9/12 mzitoe wananchi wataingia vitani na nawaomba mvumilie nchi ndio inapona.

Niwe tu muwazi kila mmoja anajua watanzania waliouwawa wananchi wengi wana hasira sana hali haitokuwa ya kawaida. hii itakuwa ni kubwa kuliko iliyopita.
Kwa kuongezea Mabalozi wa CCM, Wajumbe wa nyumba 10/10 na Watendaji wa serikali za mitaa washushe bendera za mboga mboga kwenye nyumba zao, serious wakipuuza sawa.
 
HAYO Sasa sio maandamano ni UJAMBAZI KAMA UJAMBAZI MWINGINE.nyie mdili na polisi na ccm ila mkiingia kwenye biashara za watu mtakuja kuchinjana na wenye biashara zao.wekeni target ya maandamano yenu.
 
Back
Top Bottom