Kweni unashindwa kujenga hoja bila matusi?ku.ma wewe yaan nyie maccm hili halitapta bure halitapta bure adui unayemmudu usmuachie MUNGU hatuta muachia MUNGU hili hakika mtalipa..tu
Hahaaa hii kauli hamuichoki? Maana video na picha mnasema ni AI.Yaliyotokea tarehe 29 nlsababu kubwa ni Jeshi walivurugana huko ndani,labda kama lissu ndio ataongoza hayo maandamano watu watatoka vinginevyo sioni mtu yoyote akitoka.
Sawa . Na mshinde tuone wezi, vibaka ninyiHakuna nchi iliyoshindana na nguvu ya umma iliyowahi shinda
tafuta post yangu ya tarehe 29 nilisema watu wataanza kulia soon na kweli wamelia, ungekulia kwenye mfumo ndo ungekuwa unanielewa , ndugu hakuna mapinduzi Tanzania kamwe njia pekeee ni kuzungumza tu
Mwambie. Huto tu maandishi tunakera wengi.Mkuu achana na huyo kichaa nyumbu, bila maandamano hawa Ccm watatuzoea sana.. ila mkuu ila tumaandishi unatotumia hatujakaa kijanja..
sawa hamna shida tukana tu haibadilishi chochoteW Mku....ndu kazungumze na mama yako DO tutaelewana tuuu
hii itakuwa D9 yakukumbukwa
Ni afadhali mkoloni mweupe arudi kututawala kuliko huyu mkoloni mweusi anayetuteka na kutuua kwa risasi za moto hadharani. Sijawahi kuishi nchi ya kipumbavu na ****** kama TanganyikaGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
View attachment 3500052View attachment 3500053
Achana na hilo jinga mkuu. Litakuwa liviCCM limoja hivi limevembewa makande linakuja hapa kutukatisha tamaa. Maandamano yapo palepale.Usidanganyane wewe na nani?
Katafute mwenzio wa kudanganyana nae sio mimi.
Halafu maandamano ni issue binafsi sio kumlazimisha mtu kinguvu.
Ndio maana hata yaliyoisha kuna watu walitoka na kuna wengine walibaki ndani wamejifungia.
Kila mtu anajua risasi haina mbadala lakini kila mtu ana maamuzi yake binafsi.
Nikitaka na kuamua kwa moyo mmoja kutoka hata ukinielea kifaru mbele nitatoka tu.
Na kama sijaamua hata usipoweka kifaru sitatoka.
Na kama nimeamua nisitoke hata usiponiwekea kifaru sitatoka.
Bakabaka Huwa wanawahi hayo maeneo na kuweka ulinzi mzito madhan mr Jacob aliwapa maelekezo hayo baada ya Ile hotuba yake ya kusomaFahamu sehemu kuu za wananchi kuzichukua ili kushinikiza mabadiliko yao kusikilizwa na kufanyiwa kazi haraka tarehe 9/12
1, Wananchi wachukue ikulu yao na kuidhibiti bila kutoka.
2, wananchi wadhibiti bunge bila kutoka.
Baada ya hapo kazi itakuwa imeisha hakuna ujeuri wa chura kiziwi tena tutaenda kuirudisha nchi kwenye mstari, tutadhibiti kila kitu bila jeshi.
Nyongeza ni hawa wauwaji hawa polisi wala rushwa lazima tuwadhubiti kwa jasho na damu hatuta watunuku kwa mauwaji waliyo yafanya tunatakiwa tukate hii jeuri yao, tutatekeza vifaa vyao vyote na makazi yao wakatafute nchi ya kwenda
Tarehe 9/12 kitawaka hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi
Acha unafiki wangekuwa ndani wangeweza ku survive zaidi ya kuuliwa au kutekwaIla hii nchi ina Matahira mengi sana.
Hao ma activists wenyewe wako nje wanakula vyuku tu
Mkuu umehitimisha kibabe sana 🤣🤣pamoja familyNi kweli lakini wakianza kuchoma mali zao kwanza ,wanapoteza focus ya kupambana na WAHUNI WA ABDUL.
AFILE MUNU ASIGALE MUNU , SHOW SHOW #D9
😂😂😂😂😂Mkiwa mnapeana mikasi mnaanza kuimba
"Rais Samuya
Rais samuya
Kutakuwa na nywinywi nywinywi na nywinywinywi"
Sio kwa haya Ma janjaweed ya TzSiku ukipata shida mtoto wako au mkeo au ndugu yako kubakwa au kuuliwa utasema naenda polisi kushitaki Leo unasema tuwauwe na siku ukivamiwa nyumbani kwako na majambazi au vibaka mbio polisi kutoa taarifa duniani kote Kuna polisi na wanaheshimu kazi za polisi
COUNT ME INNBaada ya tarehe 9/12 polisi waliouwa ndugu zetu kutajaa misiba na kwao hatutowachekea wasituzoe sisi sio bibi zao.
Tukutane tarehe 9/12 hakuna wa kutuzuia uwezo tunao nguvu tunazo sisi ndio sisi.