Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wakuu habari za huko !!.
Jambo nalopenda kuwahakikishia, Majina ya wote walouliwa yanaendelea kukusanywa, Kwa majina Yao Mmoja Mmoja na Kwa Familia !!
Wauaji walitumia Mbinu ya Kuteketeza Miili ili kuwaacha Watanzania njia panda yaan 'Hatujui kama Yuko Hai au Alikufa"
Niwaatangazie tu wote ambao bado mnahangaika kutafuta Ndugu zenu "KAMA NDUGU YAKO HAPATIKANI KWENYE SIMU ,KAUWAWA , ZIKENI NGUO, REKODINI VIDEO ,SAMBAZA MTANDAONI "... Hayupo na hatopatikana tena!!
Sasa MAANDAMANO haya ya DEC 9 yana mambo mawili
1- Twende na Wauaji kama watakavyokuja
2- Yawe na Amani yaan Kulinda Miundo mbinu ya NCHI ,zingatieni neno YA NCHI !!
Hayo Nimeona kupitia Jicho la Roho ambalo Mungu amenena Nami , Wauuaji na Watekaji wetu wanajihisi Muda bado wanao wa kudhibiti Kwan wanajiona DEC 9 ni mbali, ila niwaambie, kama ambavyo Tulionya Humu, kama ambavyo tulihimiza Uchaguzi uahirishwe, Kama ambavyo tulisema Reforms kwanza, Kama ambavyo tulisema Sitisheni Utekaji na Mauaji ya Watanganyika, Kama ambavyo TUulisema Fungueni Makanisa, Kama ambavyo tulisema Mwachieni Polepole, Kama ambavyo tulisema Acheni Kubagaza Kanisa Katoliki, Kama ambavyo tulisema KEKI ya Taifa iwanufaishe wote , LAKINI TUKADHARAULIWA NA KUPUUZWA NA MWISHO TANGAZI LIKATOKA 'HAKUTAKUA NA NYWIII NYWIII NYWIII WALA NYWAA NYWAAA ,WAKAJINASIBU ,HAKUTAKUA NA MAANDAMANO ....
TAREHE 9 DEC Hawataamini ukubwa wa Maandamano umetokea wapi.
Wanashauriwa Wafunge Mipaka na kuimarisha Ulinzi, ili wasije kusema ni WAKENYA !!.
DEC 9 ni maandamano makubwa ya AMANI yenye kudai , zingatieni neno Kudai !!.
RAI YANGU KWA WA UAJI:
Tarehe 9 Dec mna machaguzi mawili tu
-Kuwapa Wananchi wanachotaka.
_Kuwaua Wananchi ili Mwende ICC !!
ULE UJINGA JINGA WENU WA MARIDHIANO, KAENI WENYEWE WATEKAJI NA WAUAJI MRIDHIANE WENYEWE NA MACHAWA WENU .