PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kabisa nchii hii baada ya tarehe 9/12 haitatawalika Tena mpaka Samia na genge lake watupishe
 
Kuna mambo yanakera na kuumiza sana lakini kwa msimamo huu, sioni suluhisho. Hasa kama watawala nao wakichagua kupambana.

Ili nchi ipone, ni lazima wote kwa pamoja tuchague kuikoa nchi kuliko ushindi wa kibinafsi. Maana hata tukipigana leo, tutachoka tu kuumizana na lazima kila mtu atatamani kurudisha utulivu baadae, sasa ingekuwa heri sana hili lifanyike mwanzo.
Mungu atusaidie.
 
Kwakua Mama yako hapo nyumbani kafanya Baba yako ashindwe kutawala nyumbani kwenu unafikiri na wewe utatuletea ujinga wako? Tutakuzika ukiwa hai wewe na wezi wenzako mnaopanga kuvunja maduka ya watu nyumbu wewe
 
Kwakua Mama yako hapo nyumbani kafanya Baba yako ashindwe kutawala nyumbani kwenu unafikiri na wewe utatuletea ujinga wako? Tutakuzika ukiwa hai wewe na wezi wenzako mnaopanga kuvunja maduka ya watu
Basi Atakutawala wewe peke yako,
 
Kuanzia #D9 tutahakikisha nchi haitawiliki hii watu wanaojifanya viziwi watasikia waruke ruke walagalegale wajiteuwe hawato tawala.

Sisi hatuutambui uchaguzi wala wauwaji waliouwa ndugu zetu kabisa kabisa Tanzania haina raisi wala mbunge sasa utake usitake sisi hatuwatambui na hatupo chini ya uongozi wa yoyote na tutathibitisha hilo December 9 tutasimamisha nchi nzima hakuna shughuli hata ya nzi itakayofanya kazi.
Hivi unaposema hautambui uchaguzi ni sheria gan hapo unaitumia kuthibitisha hili? Usiwasemee watanzania wote jisemee wewe peke yako, watu wachache msijifanye kwamba mmebeba maono ya watanzania wote.
 
Back
Top Bottom