PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwanini uiambii serikali isikilize raia. Lakini wewe umekaa upande wa mtesaji ukiwalazimisha wateswaji waache kuandamana nikuambie tu tanzania inaenda kubadili rangi ya bendera soon
Sijakaa huo upande unaosema bali sipendi kuwa mnafki

Mimi sio zezeta nina akili timamu

Tumeona kwa ndugu zetu wakenya na slogan yao "RUTO MUST GO" kiko wapi?

Huwezi kushindana na watu ambao wana zana zote za kukushinda wewe na hawathamini tena maisha yako

Mtu umeshika mawe mikononi mwenzako ana SMG mbona haiingii akilini

Wazee wetu wenyewe katika vita vya majimaji walihoji kwamba sisi tuna mishale na mikuki wenzetu wana bunduki itakuwaje? Ndo kinjeketile Ngwale akaja na mbinu yake ile kama aliyokuja nayo Mange ya kwamba jeshi lipo pamoja na ninyi wananchi

Tumeishi kama wanyama kwa kipindi kile kifupi mnataka turudi kulekule? Mnataka maiti ziendelee kutapakaa barabarani na mitaani?

Imeripotiwa kuna viongozi wa chama fulani wanaomba hifadhi Kenya, hawa wamesoma alama za nyakati wanaona wanachuzwa tu na kina Sarungi,hilda,sativa na Mange, wenzao wanaenjoy wanaacha Gen Z wajifie uko

Wanaishia kusema dunia nzima imeona video zote sasa wakiona ndiyo nini? Ndo ndugu zetu watarudi? mpaka sasa hatua zipi zimechukuliwa?

Nawaheshimu wanaharakati ila sio wanaharakati hao uchwara Boniface Mwangi kipindi cha maandamano ya Kenya yote alikuwepo Kenya na aliungana nao

Hawa wetu sisi wanatumia ignorance ya watanzania kutimiza matakwa yao binafsi
 
Tanzania ni failed state ,ni suala la muda tutazungumza lugha moja,kuna kila dalili mifumo yote kucollapse,maana kwa sasa tuko autopilot, Nchi hii ni kama kibibi Kizee kilisha jichokea ukikisukuma kidogo kinamalizikia,lakini yote ni tamaa ya madaraka na pesa. Kwanini usiseme ukweli kama nyekundu ni nyekundu tu si nyeusi,haya sasa nchi imeshatengeneza ufa,tunasubiria mpasuko kamili ,mataifa mawili yenye miji mikuu kutokea,kwa heri Tanzania 🇹🇿
 
Ninyi mna Abc za kemikali. Someni vitabu vya kutengeneza explosives then mtengeneze.

Wengine jifunzeni kutengeneza hata drones, hata zikiwa za kienyeji sawa, ilmradi iweze kupaa.

Hii ishakuwa vita, tutumie kila nyenzo kuleta ukombozi katika hili taifa.
Nawasilisha
 
Hakuna mtu atakayepigwa risasi tarehe #D9 watoto, wanawake, wazee na vijana tujitokeze uelekeo ni ikulu na bungeni .

Kwa hizi ripoti za vyombo vya habari vya kimataifa kuthibitisha mauwaji ya samia yeye huko ni kitumbo joto tunapaswa kumaliza tulipo ishia.
Hizo ripoti zilivyothibitisha hatua gani imechukuliwa?

Na unawaambia wenzako kabisa kuwa hakuna mtu atakayepigwa risasi 😅

Yani hauna huruma unawaita hadi watoto nao wawe front kumbe kuna watu ni wanyama kiasi hiki
 
Hizo ripoti zilivyothibitisha hatua gani imechukuliwa?

Na unawaambia wenzako kabisa kuwa hakuna mtu atakayepigwa risasi 😅

Yani hauna huruma unawaita hadi watoto nao wawe front kumbe kuna watu ni wanyama kiasi hiki
wanyama si ni wauwaji au mimi ndio nauwa ? huna akili
 
Back
Top Bottom