PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Brother shut your damn mouth. si kila mtu anpambania wazaz, wengine wazazi walishajenga msingi wanajiweza

So usijifanye mr ushauri saana as if watu hawajui la kufanya
ungekua na wazazi bora usingekua unakaa unahangaika na siasa, povery has enslaved you
 
Sio kizazi cha mwaka 80 hivi, every one has to be held accountable for what he/she did. The first step being the president to step down
president to step down 😂😂😂, just move on, you have 5 years ahead
 
#D9 nina uwakika mshindi wa urais kwa asilimia 98% hatolala ikulu kama sio kukimbia nchi.

Naona gen z wakichukua ikulu, wakisha chukua ndio basi tena washamaliza kazi jumla jumla.
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni tukio la kihistoria lililotokea tarehe 12 Januari 1964, ambalo lilisababisha kupinduliwa kwa utawala wa Sultani wa Zanzibar Jamshid bin Abdullah na serikali yake iliyokuwa imejaa uonevu na dhulma kwa watu weusi.

Mapinduzi haya yalitokea baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi hasa waliokuwa makuli wa bandarini kupuuzwa.

Leo hii kuna kilio cha wananchi cha kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kuuawa na vyombo vya dola kwa wapendwa wao ambacho kimepuuzwa na watawala kwa muda mrefu, wanadai Katiba mpya, utawala bora, na Tume huru ya Uchaguzi, hawatambui uchaguzi uliopita hivyo hawaitambui serikali iliyo madarakani.

Hivyo wananchi kupitia vijana Gen Z wametoa taarifa kuwa tarehe 912 watafanya maandamano ili kupaza sauti zao zisikilizwe.

Inawezekana nasema tena inawezekana endapo serikali itaendelea kuziba masikio na kupuuza kilio cha hawa vijana yanaweza kutokea kama yaliyotokea Zanzibar tarehe 12 January 1964, yaani MAPINDUZI MATUKUFU YA TANGANYIKA.
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni tukio la kihistoria lililotokea tarehe 12 Januari 1964, ambalo lilisababisha kupinduliwa kwa utawala wa Sultani wa Zanzibar Jamshid bin Abdullah na serikali yake iliyokuwa imejaa uonevu na dhulma kwa watu weusi.

Mapinduzi haya yalitokea baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi hasa waliokuwa makuli wa bandarini kupuuzwa.

Leo hii kuna kilio cha wananchi cha kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kuuawa na vyombo vya dola kwa wapendwa wao ambacho kimepuuzwa na watawala kwa muda mrefu. Madai mengine ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

Hivyo wananchi kupitia vijana Gen Z wametoa taarifa kuwa tarehe 912 watafanya maandamano ili kupaza sauti zao zisikilizwe.

Inawezekana nasema tena inawezekana endapo serikali itaendelea kuziba masikio na kupuuza kilio cha hawa vijana yanaweza kutokea kama yaliyotokea Zanzibar tarehe 12 January 1964, yaani MAPINDUZI MATUKUFU YA TANGANYIKA.
A revolution is a process not an event, tayari Tanzania ilisha pata revolution kilicho bakia ni uongozi kukubaliana na mabadiliko.
 
Back
Top Bottom