PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe ndo huna akili unayetaka mpaka watoto waingie barabarani

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika huo upuuzi

Jitathmini
yes, ili kushinikiza mabadiliko na wauwaji waliouwa kaka na dada zao wawajibishwe
 
Naanza na ester bulaya anasema wasiotaka maridhiano wana lao kwasababu rais wao anataka maridhiano. Huyu anachochea makusudi hasira za watanzania kwasababu ccm wanataka maridhiano wakishaiba kura baada ya hapo ni mwendo wa kuwateka na kuwapoteza watanzania ukifika tena muda wa uchaguzi mduara unarudi pale pale maridhiano safari hii watanzania hawataki hizo ghiliba mduara wa mateso wanaukata wao wenyewe.
 
Mwingine ni baba levo anaposema kuna watu walileta vurugu na Sasa rais wake amewaachia vijana huru. Huyu nae anachochea makusudi hasira za watanzania kwasababu mpaka imefikia watanzania wapole kuandamana shida imeanzishwa na serikali ya ccm kufumbia mauwaji mateso na kupotezwa Kwa watanzania halafu mamlaka ziko kimya huku rais wao akijibu utumbo watu kifo ni kifo tu eti ndio comforter wa taifa huyo.
 
Naanza na ester bulaya anasema wasiotaka maridhiano wana lao kwasababu rais wao anataka maridhiano. Huyu anachochea makusudi hasira za watanzania kwasababu ccm wanataka maridhiano wakishaiba kura baada ya hapo ni mwendo wa kuwateka na kuwapoteza watanzania ukifika tena muda wa uchaguzi mduara unarudi pale pale maridhiano safari hii watanzania hawataki hizo ghiliba mduara wa mateso wanaukata wao wenyewe.
IMG-mhzeslvf.jpg
 
"Naipongeza tume huru ya uchaguzi kwa kuendesha uchaguzi wa mwaka huu kwa weledi'. Hii ni dhihaka kwa watanzania.
Wanadhani walimu na watendaji walioshiriki kujaza kura feki sio ndugu zetu? Matokeo yanatengenezwa Kwa calculator ya cassio halafu yanatumwa Kwa halojimbo yote hayo yanajulikana hakuna uchaguzi wa weledi pale ni machukizo mbele ya Mungu.
 
Naanza na ester bulaya anasema wasiotaka maridhiano wana lao kwasababu rais wao anataka maridhiano. Huyu anachochea makusudi hasira za watanzania kwasababu ccm wanataka maridhiano wakishaiba kura baada ya hapo ni mwendo wa kuwateka na kuwapoteza watanzania ukifika tena muda wa uchaguzi mduara unarudi pale pale maridhiano safari hii watanzania hawataki hizo ghiliba mduara wa mateso wanaukata wao wenyewe.
Ester ni mjinga.
 
Pia waache kutumia hilo neno kwamba Vijana walifuata MKUMBO..ni kuwatusi ..Mnaweza kuwapa MSAMAHA pasipo kuwatusi na kuwabagaza
 
Ester kachemewa lodge aliyokuwa anafikia kwa Babu yake wasira palikura kiberiti bado anaropoka tu
 
Wale ambao mnatumia nguvu kubwa kuhakikisha mnafanya maandamano izo nguvu zihamishieni kwenye kufanya maendeleo, Mkipigania wazazi wenu basi hesabu baraka nyingi sana
 
Cha kufanya hapo pelekeni majeshi mtaani yakafanye mazoezi ya pamoja.

Watanzania waoga sana. Si ndio hivyo?
 
Wale ambao mnatumia nguvu kubwa kuhakikisha mnafanya maandamano izo nguvu zihamishieni kwenye kufanya maendeleo, Mkipigania wazazi wenu basi hesabu baraka nyingi sana
Brother shut your damn mouth. si kila mtu anpambania wazaz, wengine wazazi walishajenga msingi wanajiweza

So usijifanye mr ushauri saana as if watu hawajui la kufanya
 
Wale ambao mnatumia nguvu kubwa kuhakikisha mnafanya maandamano izo nguvu zihamishieni kwenye kufanya maendeleo, Mkipigania wazazi wenu basi hesabu baraka nyingi sana
Wauwaji wapatikane kwanza, katiba mpya, uchaguzi urudiwe, tupate rais tunayemtaka sisi, huyo mnywa damu za watanganyika hapana. So kaa kwa kutulia
 
Back
Top Bottom