ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,713
- 2,674
K&ma kweli we,Kuanzia #D9 tutahakikisha nchi haitawiliki hii watu wanaojifanya viziwi watasikia waruke ruke walagalegale wajiteuwe hawato tawala.
Sisi hatuutambui uchaguzi wala wauwaji waliouwa ndugu zetu kabisa kabisa Tanzania haina raisi wala mbunge sasa utake usitake sisi hatuwatambui na hatupo chini ya uongozi wa yoyote na tutathibitisha hilo December 9 tutasimamisha nchi nzima hakuna shughuli hata ya nzi itakayofanya kazi.