PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
A revolution is a process not an event, tayari Tanzania ilisha pata revolution kilicho bakia ni uongozi kukubaliana na mabadiliko.
Uongozi usipokubaliana na mabadiliko what next.
 
Mabadiliko ndo yatawabadili the change will change them hi ndo nature ilivyo.
Una maana tusubiri hadi madaliliko yawabadilishe duh, utasubiri sana

If they can't change change them.
 
Binafsi nitajivunia zaidi kuwa raia wa Tanganyika huru, kuliko kuwa raia wa hii Tanzania inayotawaliwa na wahuni wa ccm! Na pia iliyoungana na watu wasio na visogo.
 
Una maana tusubiri hadi madaliliko yawabadilishe duh, utasubiri sana

If they can't change change them.
Kutoka kwako ndo mabadiliko yenyewe mkuu, sasa hivi huwezi kuzuia watanzania hata wasukuma mnao waona ni washamba na waoga walisha liona na wako tayari, sasanani atabaki nyuma.
 
Hili wazo la kuwategemea na kuwatoa mhanga Gen Z sijui hasa limeanzia wapi na nani mwasisi wake hasa.?

Inafahamika mchango wao mkubwa katika maswala kama haya; lakini isiwe kuwa jukumu zima wamepewa wao.
 
Gen Z Gen Z Gen Z mewaita mala tatu. Jipangeni. Twabakisha phase tatu kila ngazi itakuwa imepandwa. Waishio binguni watafikiwa tuu. Phase ya D9 itakuwa haichekeshi. Redcross wasema phase 2 yawa ngazi ya kilio. Miye sijui mwajua nyie. Dec 7 waja na tamko la busu la mamba. Na bado
 
Hili wazo la kuwategemea na kuwatoa mhanga Gen Z sijui hasa limeanzia wapi na nani mwasisi wake hasa.?

Inafahamika mchango wao mkubwa katika maswala kama haya; lakini isiwe kuwa jukumu zima wamepewa wao.
Mkuu hao watu wanajikoboa wenyewe hamna anae wambia Ccm ndo ilitegenza mazingira haya kwa sababu ya uroho ya madaraka, ni leaderless vuguvugu sio rahisi kuizima.....
 
Unaogopa nini umejenga nyumba au una biashara mwenyekiti wa CCM unaogopa kufa
 
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro

===

View attachment 3500052View attachment 3500053

Mumelishwa matango pori Zanzibar hakujafanyila Mapinduzi kumefanyika uvamizi wa Tanganyika ya Nyerere kwa Zanzibar. Serikali halali ya Muhammed Shamte ilivamiwa na Nyerere na kuja kufungwa Tanganyika kwa miaka10 bila kufikishwa Mahakamani.
 
Wana machaguzi mawili tu
1-Wazime INTANETI, Kisha Watuue wote waishie ICC.


2- Kukabidhi Nchi katika Serikali ya Mpito , Wananchi waamue juu ya Nchi Yao.


Hata hivo, yote katika hayo mawili, NI LAZIMA TUWAWAJIBISHE, KUNA WATU TUTAWAFINGA, WENGINE TUTAWANYONGA, WENGINE TUTAWAFILISI.
 
Gen z mexico tayari wamesha angusha serikali ndani ya siku moja na sisi tunatakiwa kuthibiti ikulu na bunge basi sio kuzunguka tu barabarani.

=====================

Maelfu ya watu wamejitokeza mitaani nchini Mexico kupaza sauti dhidi ya ongezeko la uhalifu, ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji. Maandamano hayo yaliandaliwa na vijana wa kizazi cha Gen Z lakini yakavutia washiriki wa rika mbalimbali, wakiwemo wanaharakati wakongwe wa vyama vya upinzani pamoja na wafuasi wa aliyekuwa Meya wa Michoacan, Carlos Manzo, ambaye alipigwa risasi na kuuawa katika tukio la umma la Siku ya Wafu mapema mwezi huu.

Huko Mexico City, kundi dogo la waandamanaji waliokuwa wamefunika nyuso zao walivunja uzio uliokuwa umezunguka Ikulu ya Taifa ambako anaishi Rais Claudia Sheinbaum. Tukio hilo lilisababisha makabiliano na polisi wa kutuliza ghasia ambao walitumia gesi ya machozi kulingana na taarifa za vyombo vya habari.

Waziri wa Usalama wa Umma wa jiji hilo, Pablo Vazquez, alisema katika mkutano na waandishi wa habari kuwa polisi 100 walijeruhiwa, huku 40 kati yao wakihitaji matibabu hospitalini.

Aidha, wananchi 20 nao walipata majeraha, Vazquez aliambia kituo cha habari cha Milenio.

Aliongeza kuwa watu 20 walikamatwa na wengine 20 wakachukuliwa kwa makosa ya kiutawala.

---------------------------

Thousands of people have rallied across Mexico, protesting against growing crime, corruption and impunity, in demonstrations that were organised by members of Generation Z.

The marches on Saturday were attended by people from several age groups, including older activists from opposition parties, as well as supporters of the slain Michoacan Mayor Carlos Manzo, who was who was shot dead at a public Day of the Dead event earlier this month.

In Mexico City, a small group of hooded protesters tore down fences around the National Palace where President Claudia Sheinbaum lives, prompting a clash with riot police who deployed tear gas, according to media reports.

Mexico City’s public safety secretary, Pablo Vazquez, said in a news conference that 100 police officers were injured, including 40 who required hospital treatment.

Another 20 civilians were also injured, Vazquez told local media outlet Milenio.

The public safety secretary also said 20 people were arrested and another 20 “referred for administrative offences”

Source: Al Jzeera


FB_IMG_17633109354715354.jpg
 
Gen z mexico tayari wamesha angusha serikali ndani ya siku moja na sisi tunatakiwa kuthibiti ikulu na bunge basi sio kuzunguka tu barabarani.

#D9 tujitokeze Uelekeo ni ikulu na bungeni kwa jasho na damu tuchukueni majengo yetu tukisha chukua kazi umekwisha kabisa kabisa tutaunda serikali ya wananchi.
Actually haijaanguka but pressure ni kubwa mno
 
we fala upo USA unafikiri kuna mtu atakomboa nchi kwa niaba yako yaani uende uuliwe kwa mihemko .!


usichukulie poa vijana wajinga watakusikiliza ila nyie familia zenu kwakuwa zipo ulaya unabwabwaja tu
 
Back
Top Bottom