PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wakina polepole hatima yao ipo mikononi mwa watanzania, endapo tukikubali kuutunuku huu ushenzi wa mauwaji utekaji tutaishi kama watumwa kwenye nchi yetu milele. tunapaswa kuchukua nchi yetu haraka sana.

Kama nawaona wakina polepole wanavyolia na kuomba msaada mungu atatushindia #D9 tujitokeze kwa wingi sana.
Natamani D9 iwe kesho aisee
 
Wameshaanza vitisho
downloadfile-3.jpg
 
Kuelekea Mziki wa #D9 Sioni vitisho vya polisi au yoyote naona hata machawa wa awali wamekaa kimya Hakuna kujitoa akili sasa wameibuka wapya bungeni hao tutadili nao.

Tunawataka watu kama hawa wa kuwasalimia pale bungeni.
 
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro

===

View attachment 3500052View attachment 3500053

Tanganyika mpya inakuja ...amini kwamba..
 
Wameua ndugu zetu. Hawakuwa na silaha. Walahi lazima walipie. Watalipa naapa kwa Allah. D9 haichekeshi walahi. Tutatoka watumalizie.

Wameua baba sasa waniue mimi. Nakuwa chawa wenu malipo mwaua baba yangu. Heeeehee! Walahi lazima nilipe. Nawajua waliomuua baba yangu. Afu mwateka mpaka rais mayii wee.

D9 ngazi ya pili twaenda kuipanda walahi miye sijui. Na bado. Mwateuana ili tutoke reli heee hee mmekwama. Na bado
 
Mjulishe mwenzio. Siku 20 zimebaki twaenda kukomboa nchi. Mapapa twaenda kuyavua na kuyapa haki ya kikatiba. Tumejipanga. Idadi yetu imeongezeka. Walahi tutashangaza mafisadi. Twajua polisi kazi tulowaagiza mtafanya ipendeze. Tumewakaribia sana. Washaanza kusalitiana. Heee hee mayii. Hatupoi siye. Mchuma umewaka huo ngazi ataachia walahi. Na bado
 
Hivi ni wewe au id wamempa mtu mwingine?
 
Back
Top Bottom