Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Kutoa pesa hakusihidii bali kuziweka katika akiba ya usa dola ni sahihi zaidi kwa zile benki zenye huduma hiyo au dhahabu kama ulivyo semaNdugu wa Tanzania hakikisheni mnatoa fedha zenu mlizotunza huko kabla hazijashuka thamani na hamuwezi kuzitoa.
Kwa wale wenye akiba za milioni hakikisheni mnazitunza akiba zenu kwa dhahabu au fedha za kigeni