PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi ni wewe au id wamempa mtu mwingine?
Huyu policcm walimuua baba yake mzazi.
Screenshot_20251118-111641.jpg
 
Previously I was they're puppet. Praise them, worship them regardless what wrong they're were doing. Abduction to me was like rumours. What now they are paying me. Killing my parent? Hehehe heew! I don't know
Oya hulioni swali langu au unajifanya kipofu?
 
Ndugu wa Tanzania hakikisheni mnatoa fedha zenu mlizotunza huko kabla hazijashuka thamani na hamuwezi kuzitoa.

Kwa wale wenye akiba za milioni hakikisheni mnazitunza akiba zenu kwa dhahabu au fedha za kigeni
 
Tuelezee vizuri mkuu, nini kitatokea kwenye upande wa fedha kinachohusishwa na D9?

Ingawa sina hata hiyo hela ya kwenda kutoa benki, I am just curious 😉
 
Back
Top Bottom