PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bado sana kaka, serikal hazianguki over one day.
Serikal bado ipo, na ime announce new security strategy
unajua shutuma anazo shitakiwa nazo ni kama za samia? ufisadi, utekaji na ushirika na makundi ya kigaidi ya mexico hapo wakisema hawatoki ikulu na huyo raisi ataongoza wakina nani kwa hizi shtuma huyo kashaenda
 
we fala upo USA unafikiri kuna mtu atakomboa nchi kwa niaba yako yaani uende uuliwe kwa mihemko .!

usichukulie poa vijana wajinga watakusikiliza ila nyie familia zenu kwakuwa zipo ulaya unabwabwaja tu
Huna akili nisikujibu.
 
Gen z mexico tayari wamesha angusha serikali ndani ya siku moja na sisi tunatakiwa kuthibiti ikulu na bunge basi sio kuzunguka tu barabarani.

#D9 tujitokeze Uelekeo ni ikulu na bungeni kwa jasho na damu tuchukueni majengo yetu tukisha chukua kazi umekwisha kabisa kabisa tutaunda serikali ya wananchi.
Angalau Serikali yao haitumii mbinu za kishetani za Serikali ya CCM. Hivyo ndivyo Serikali inavyopaswa kuenenda!

sasa unataka madogo wakauliwe tena hiyo 9D huku wewe ukiwa USA ? yaani im not sure kama mpo makini na mnapenda future za vijana
kwani kuuliwa kumeanza tu kwenye maandamano? unajua sababu kuu za maandamano hivi unaakili timamu kweli wewe
 
unajua shutuma anazo shitakiwa nazo ni kama za samia? ufisadi, utekaji na ushirika na makundi ya kigaidi ya mexico hapo wakisema hawatoki ikulu na huyo raisi ataongoza wakina nani kwa hizi shtuma huyo kashaenda

unajua shutuma anazo shitakiwa nazo ni kama za samia? ufisadi, utekaji na ushirika na makundi ya kigaidi ya mexico hapo wakisema hawatoki ikulu na huyo raisi ataongoza wakina nani kwa hizi shtuma huyo kashaenda
No ah demands ziko tofauti sio kama za samia. kuna ambazo ni world wide but mexico ni different kidogo

first of all wanashangaa serikal inashindwa kumaliza crime empire ya drugs, drug violence. Ni tatizo la miaka na miaka

Justice and accountability, especial majuzi kiongoz mmoja kipenz cha wananchi was shot in broad day light, na serikal imeshindwa kuja na majibu

Vingine ni rushwa (regular) na wanataka serikali iwe na msimamo mkali juu ya crime
 
Tatizo huku vijana wanafuata mkumbo tu
 
Haiwasaidii kitu.

Wajibu wa kufanya kazi unabakia pale pale.

Maisha hayabadiliki kwa kupindua serikali.
 
So far watu 20 wamejeruhiwa, 100 ni polisi na 20 wamekamatwa.

Na hiyo imetokana Gen Z kutupiana mawe na polisi na hakukuwa na matumizi ya silaha za moto.

1763311780233.png

Hivi ndivyo polisi wanavyojaribu kuzuia maandamano ya Gen Z yalofanyika nchini Mexico jana Jumamosi. Picha na AP.
 
first of all wanashangaa serikal inashindwa kumaliza crime empire ya drugs, drug violence. Ni tatizo la miaka na miaka
Hii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvu

Isitoshe ghasia za magenge ya wahalifu na madawa ya kulevya yanachangiwa zaidi na soko kubwa la hiyo biashara liliopo Marekani.
 
Haiwasaidii kitu.

Wajibu wa kufanya kazi unabakia pale pale.

Maisha hayabadiliki kwa kupindua serikali.
Inasaidia kukomesha utekaji na wizi wa rasilimali za nchi ubambikiaji wa kesi na ukamataji wananchi hovyo, uwajibikaji na amani kwahiyo huna akili
 
Hii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvu

Isitoshe ghasia za magenge ya wahalifu na madawa ya kulevya yanachangiwa zaidi na soko kubwa la hiyo biashara liliopo Marekani.
Hii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvu

Isitoshe ghasia za magenge ya wahalifu na madawa ya kulevya yanachangiwa zaidi na soko kubwa la hiyo biashara liliopo Marekani.
Hii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvu

Isitoshe ghasia za magenge ya wahalifu na madawa ya kulevya yanachangiwa zaidi na soko kubwa la hiyo biashara liliopo Marekani.
Itabidi afungue border american troos waingie kupiga mzigo
Else cartel wameshajipenyeza serikalin , ni ngumu kushinda hiyo vita
 
Gen z mexico tayari wamesha angusha serikali ndani ya siku moja na sisi tunatakiwa kuthibiti ikulu na bunge basi sio kuzunguka tu barabarani.

#D9 tujitokeze Uelekeo ni ikulu na bungeni kwa jasho na damu tuchukueni majengo yetu tukisha chukua kazi umekwisha kabisa kabisa tutaunda serikali ya wananchi.

Kwa huu umati polisi utasimama umpige risasi nani na uchomoke samala kabisa.

View attachment 3502868
Matako yako
 
Itabidi afungue border american troos waingie kupiga mzigo
Else cartel wameshajipenyeza serikalin , ni ngumu kushinda hiyo vita
Hawawezi kukubali hili kirahisi maana huko ni kuweka rehani Uhuru wao.

Hii vita dhidi ya 'drug cartels ' inaonekana Mexico inazidiwa sababu serikali ya Marekani imeshindwa kudhibiti silaha haramu kutoka nchini mwak kuwafikia hayo makundi.

T14 Armata
 
Hahaha hivi unafikiria polisi wa tz wangefanya kama wa Mexico mpaka leo mama angekua Ikulu?

Mazingira hayafanani, Hata wakenye Ungewaleta Tz Tare 29 Wangepoteana tu, ama hukuona kwenye Msiba wa Odinga zilipigwa juu live bullets ndani ya dakika tano tu hakukua na mtu uwanjani
 
Presha yao ipo juu na wanatuogopa kuliko tunavyo fikiria adui tumesha mshinda mpaka sasa tunaenda kuchukua nchi.

Jeshi la polisi halina uwezo wa kudhibiti tusichukue ikulu au bunge hawana vifaa wengi wanaunga mkono wananchi chini chini pia wapo wachache sana.

sasa watachagua walinde ikulu au walinde bunge au waingie barabarani au walinde machawa.

Mahesabu makubwa yanapaswa kupigwa hapa, eneo kuu la kuandamaniwa ni ikulu na bungeni tu sio sehemu nyengine au kukimbia kimbia barabarani hali inayoweza kumpa point adui kutushambulia.

Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi. huwezi kushindana na wananchi ukashinda
 
Wakina polepole hatima yao ipo mikononi mwa watanzania.

Endapo tukikubali mauwaji na utekaji tutaishi kama watumwa kwenye nchi yetu milele.

Tunapaswa kuchukua nchi yetu haraka sana.

Kama nawaona wakina Polepole wanavyolia na kuomba msaada Mungu atatushindia

Disemba 9 tujitokeze kwa wingi sana.
 
Back
Top Bottom