PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuwinda polisi hakuna shida..
Tatizo huyo anaeongea, je yuko nchini na anajua uhalisi njia gani itumike
Au na wewe ni dayaspora?
Wale kuwa nchi za nje ni sawa tu, make wakiwa hapa nchini watatekwa, na tutakosa wa kutupa siri, sisi tunawaona kama mashujaa, na wao waliko nje nchi , tunaomba waandamane kwenda kwenye balozi za Tanzania.
 
Kuna bank Tanzania ina asset ya billion 50 na deposit ya billion 40...

So endapo watu tutafanya economic protest wakatoa pesa zako basi itabidi iwepo liquidation ifanyike au BoT iingilie kati

Kingine bank za Tanzania zinakopa kwa dola zina earn kwa shilingi, shillingi ikianguka deni lao linakuwa worse au wanashindwa kulipa, at the same time watu tukiwa na foreign currency (currency hording) serikali itaangaika kupata fx at the same time tutakuwa na parallel market ya foreign exchange.

The whole idea ni kutengeneza situation kama ya Zimbabwe, hawa wapuuzi wa samia either wabaki na mabilioni yasiyo na thamani au wayabadili kuwa dola shillings ianguke zaidi au wayatoe Tanzania (wafanye capital flight wenyewe).

Tunataka Watanzania wote tuwe sawa in terms of finances tuwe sawa kabisa ili vita iwe equal
Huu Sasa ujingamnataka watanzania wote wawe sawa je wale ambao wanajiweza kipesa na wanataka haki Kwa kuandamana mnataka kuwaumiza Mimi naunga mkono maandamano asilimia 100% ila huu mnaoongelea ni ujinga
 
Huu Sasa ujingamnataka watanzania wote wawe sawa je wale ambao wanajiweza kipesa na wanataka haki Kwa kuandamana mnataka kuwaumiza Mimi naunga mkono maandamano asilimia 100% ila huu mnaoongelea ni ujinga
Mtu mwema alyways atasimama Imara
 
Tarehe 9/12 tuwashughulikie watu wote wanaotoka nchi ya bi. Chura kiziwi waliopo Tanganyika
Hapana huu utakua uonevu sasa, kwanza kunandugu wetu, wengi sana zenji, wakifanyiwa mabaya,bora nguvu zetu tuelekeze kuwafuta policcm,
 
Siku ukipata shida mtoto wako au mkeo au ndugu yako kubakwa au kuuliwa utasema naenda polisi kushitaki Leo unasema tuwauwe na siku ukivamiwa nyumbani kwako na majambazi au vibaka mbio polisi kutoa taarifa duniani kote Kuna polisi na wanaheshimu kazi za polisi
kunavijana wengi tu, wako mitaani hawana kazi, wanaelimu za juu na maandili wale wale tutawaajili kuwa mapolisi, watakuja kufanya kazi kwa kufata katiba ya nchi. Kuliko hawa mapoliccm kuwafuta kabisa hawa.
 
Watu wa Mungu wazo langu la kutoa Pesa bank kwa wingi lichukulieni Serious, leo mmesikia Dhalimu Samia anasema kuhusu kukosa mikopo, Tanzania haiwezi kuishi bila mikopo wala Misaada tukifanya ninachokisema nchi itakombolewa haraka
 
Desemba 9, ndiyo siku ya uhuru kamili wa Mtanganyika. Kuanzia tarehe hiyo, yafuatayo yatatokea:

1. Mamlaka yatarudi kwa umma, na siku zitakazofuata nchi itawapata viongozi badala ya watawala, nao watawajibika kwa umma, kwa sababu watafanya kazi kama waajiriwa wa wananchi.

2. Marehemu wa 29 October, watapata heshima wanayostahili, na wauaji wao watafedheheka maisha yao yote.

3. Rasilimali za Watanganyika zolitapata njia ya kurudi kwa watanganyika ili ziwanufaishe Watanganyika, kama Mungu alivyowajalia.

4. Tanganyika itarudi katika uwazi, wala haitaishi kwa kificho.

5. Zanzibar na wazanzibari, watatambua kuwa Tanganyika siyo shamba la bibi, bali ni Taifa lenye wenye nalo.

Lakini hayo hayawezi kuja tu, kwa sababu waovu wanajua kuwa kwa kuja hayo, ndiyo mwisho wao wa uovu, na wao, uovu ndiyo imani yao. Hivyo watu wajiandae kwa kipindi kitakatifu cha mpito, kipindi cha kuuondoa udhalimu, na kuiita haki, ili amani isije kuharibiwa tena na hawa waovu. Hivyo, ili kujiandaa na kipindi cha kutafuta haki katika Taifa letu, hakikisha yafuatayo:

1. Nunua chakula cha kukutosheleza angalao kwa kipindi cha mwezi mmoja, kiweke kama akiba nyumbani mwako, kwa maana masoko yanaweza yasifunguliwe kwa sababu ya hofu.

2. Kama pols au wale maharamia wa kutoka Zenji, wakiwafanyia vurugu watafuta haki, chochote kinaweza kutokea, hivyo kama makazi yako yapo karibu na hao watu, ni vema ukaitafutia familia yako sehemu nyingine ya kujibanza.

3. Tambua kuwa Watanganyika wana hasira na wanaodhulumu rasilimali za Tanganyika, hivyo hakikisha familia yako huiachi karibu na makazi ya wazenji wadhulumu haki, na ambao walifanya mauaji ya kutisha dhidi ya Watanganyika.

4. Kama unatumia dawa za muda mrefu kama vile HIV, Blood Pressure, Kisukari n.k.; hakikisha umenunua za kukutosheleza kipindi kirefu.

5. Kama una pesa bank, hakikisha umetoa kiasi cha kutosha, hata kama banks hazitafunguliwa kwa mwezi mzima, ukiwafikiria pia ndugu, majirani na hata watafuta haki wenzako ambao wanaweza kuhitaji msaada wako wakati wakiendelea na kazi ya ukombozi.
6. Kama una magari, hakikisha magari yako yote umeyajaza mafuta full tank.

NB: Hakikisha unawajulisha wote ulio na uwezo wa kuwafikia kuwa tuna kazi kubwa na ya lazima, ya kurudisha mamlaka kwa wananchi, mamlaka yaliyoporwa na wakoloni weusi wenzetu, tena hawakujiita viongzi, bali wanajiita watawala.
 
Hiyo siku makaburi yote ya halaiki lazima yatafutwe yote na mnara wa mashujaa utajengwa.
 
Back
Top Bottom