PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
#MD9 #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
#MO29 #tanzaniaIsBleeding 🇹🇿📌📍 #wakeup_africa #africa_United
20251112_082312.jpg

#STRUGGLE_FOR_AFRICA 🌍
 
20251112_230318.jpg

On December 9th, we are going to stand in solidarity with our brothers in Tanzania and we are going to shut our borders in Kenya in solidarity with Tanzania - Bob Njagi

📌 🇹🇿 #MD9 #D9 #MO29 #OktobaTunatoka #SamiaMustGo #riseupTanzania

📍#9th_December 🔗
 
View attachment 3501025

Tarehe 9 Disemba, tutasimama kwa mshikamano na ndugu zetu wa Tanzania na tutafunga mipaka yetu nchini Kenya kwa mshikamano na Tanzania - Bob Njagi

#MD9 #D9 #MO29 #SamiaMustGo 📍
 
View attachment 3501025

On December 9th, we are going to stand in solidarity with our brothers in Tanzania and we are going to shut our borders in Kenya in solidarity with Tanzania - Bob Njagi

📌 🇹🇿 #MD9 #D9 #MO29 #OktobaTunatoka #SamiaMustGo #riseupTanzania

📍#9th_December 🔗
Freedom is coming to our lovely country-Tanganyika. Jamani tujitokeze kwa wingi sana sana siku hiyo ya 9th-December
 
Usidanganyane wewe na nani?

Katafute mwenzio wa kudanganyana nae sio mimi.

Halafu maandamano ni issue binafsi sio kumlazimisha mtu kinguvu.

Ndio maana hata yaliyoisha kuna watu walitoka na kuna wengine walibaki ndani wamejifungia.

Kila mtu anajua risasi haina mbadala lakini kila mtu ana maamuzi yake binafsi.

Nikitaka na kuamua kwa moyo mmoja kutoka hata ukinielea kifaru mbele nitatoka tu.

Na kama sijaamua hata usipoweka kifaru sitatoka.

Na kama nimeamua nisitoke hata usiponiwekea kifaru sitatoka.
Naunga hoja qmmmmmmk kwa hasira sana
 
GT
Masikitiko makubwa kidonda kimetoneshwa aisee haiwezekani hata kidogo.
Huyu alituambia tuhamie Burundi noooo mhuni mkubwa huyu

#D9tukutane road#
 
December 09 tunaenda kukomboa nchi yetu

Kama nilivyotoka tarehe 29 nitatoka tena tarehe 09 December

December to Remember!!

Tarehe 09 mimi na washikaji zangu wote tunatoka

Mpaka sasa nishawainfom watu kama 40 hivi wa cycle yangu na tutatoka.

Tutaandamana kwa amani na mabango yetu, matakwa yanajulikana!!

Sasa sijui safari hii atakimbia nchi tena kama alivyokimbia tarehe 29 na kuja kurudi siku ya kupewa cheti cha pongezi?.

Nilishasema na narudia tena, TZ inaenda kushuhudia mabadiliko makubwa soon!!
 
Back
Top Bottom