Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hili tulilimaliza
Mh Polepole alisema 'Hakuna Maridhiano baada ya Uchaguzi'.
Juzi Kanisa limesema - Kwa Mauaji yalotokea HILI HALINA MSAMAHA NA KWAMBA HAMNA AMANI BILA HAKI.
Huo ndio Mstari TULIOUCHORA .
Kwa Pamoja tumekubaliana kama Taifa, WAUAJI ,WATEKAJI, MAFISADI, MACHAWA, HAWA HAWATAKAA KUA NA AMANI TENA NA HIYO DEC 9 NDIO MWANZO .