PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakutakua na Salíantume !!!

Abdul , Mafwele, Muliro, Samia, Kikwete, Haji, Kizigha, Rostam nangenge lenu lote, HAMUWEZI KUUUA ILI TU MBAKIE MADARAKANI.
SAWA ila mkienda ikulu Msije tena mitandaoni ni zile hashtags zenu pendwa..sijui free pole pole ..mara free uche eee
 
Never understimate Sauti ya wengi.

Hawa watu wana hoja ila umejifungia ndani unasali na kuomba waumizwe, watekwe, wauwawe.

Hizi sauti hata wewe kuna siku utazihitaji. Usijihisi upo salama kwa kuwa unasupport upande wa Watesi.

Sheikh Shariff majini alikuwa kama wewe.
 
wewe mbna hujakata moto
 
Hakutakua na Salíantume !!!

Abdul , Mafwele, Muliro, Samia, Kikwete, Haji, Kizigha, Rostam nangenge lenu lote, HAMUWEZI KUUUA ILI TU MBAKIE MADARAKANI.
Gsm, baressa, DP world, wasirra, Bakwata yote, general ******, wazenji ...nk wote hao ni baadhi tu ...ukweli ambao RAIA FEKI AWATAKI KUKUBALI NI HUU ...KUWA SAMIA AWEZI KUSHINDA HII VITA KWA NAMNA YOYOTE WAISLAMU WAHUNI NA WAZANZIBAR WAMEMDANGANYA
 
Never understimate Sauti ya wengi.

Hawa watu wana hoja ila umejifungia ndani unasali na kuomba waumizwe, watekwe, wauwawe.

Hizi sauti hata wewe kuna siku utazihitaji. Usijihisi upo salama kwa kuwa unasupport upande wa Watesi.

Sheikh Shariff majini alikuwa kama wewe.
Mlimuua nyinyi ili mpate cha kuongea!!
 
Gsm, baressa, DP world, wasirra, Bakwata yote, general ******, wazenji ...nk wote hao ni baadhi tu ...ukweli ambao RAIA FEKI AWATAKI KUKUBALI NI HUU ...KUWA SAMIA AWEZI KUSHINDA HII VITA KWA NAMNA YOYOTE WAISLAMU WAHUNI NA WAZANZIBAR WAMEMDANGANYA
gsm , bharesa wamekosea nini mbona watanzania tuna wivu sana ?
 
Usiyo yajua ni usiku wa giza .....kama uwajui ni wakina nani kwenye haya yanayo endelea wewe mteke gsm kisha toa siku tatu ...polepole aachiliwe kama ujampata polepole ...sasa niambie kwanini iwe hivyo .
 
Back
Top Bottom