Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mods usiunganishe huu uzi, waislam bwana yesu asifiwe ? #D9 uelekeo ni mmoja ikulu zote na bungeni ndio sehemu kuu za kuandamania.
Lazima tukawawajibishe wahusika wakuu lazima twende ikulu na bungeni. kwa ukatili uliofanyika lazima tukinukishe.
Lazima tukawawajibishe wahusika wakuu lazima twende ikulu na bungeni. kwa ukatili uliofanyika lazima tukinukishe.