Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Sitoki fanyeni
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??Sitoki fanyeni mnachotaka ila Mimi mmenikosa wakuu
Nyie ndio mnakufaga ndaniGen Z sio wajinga kuchoma nchi yao, wao wanaandama kwa amani.
Na naona umetumwa uchafue au ushawishi watu watende vitu vibaya.
Wachome bandari kwani ndio inayoteka watu.
KumepambazukaaGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
View attachment 3500052View attachment 3500053
Ukiwa na silahaUnachoma kambi za jeshi, wakati wao wanakutazama tu?
Nyie ndio mnakufaga ndaniWaanze kuchoma nyumba yenu kwanza ndo waje na TANESCO.
Maandamano sio kuchoma kila kitu
Waanze na Mali zenu zote piga kiberitiUnachoma kambi za jeshi, wakati wao wanakutazama tu?
Uyole ya Tabata.
Wanachofeli Gen Z.
1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Uzuri yule JAMAA WA YANGA amesema yupo kamiligado kuwadhibiti WAHUNI.awamu hii ana nguvu mpya na Kasi mpya
Code kawapa simbachawene
Kuna taarifa huna.Weeraaa! Heheee. Mayii kikosi ni kilekile walahi zaidi chaongezeka. Tunataka miili yetu. Twataka wauaji wa ndugu zetu. Nye mwajua kutuua. Twaja tena. Round hii sio kinyonge. Hehee. Bebeni mabango. Vaeni picha za waliowaua. Hakuna kutilisha huluma. Bila kuchoka mpaka chieleweke. Nye Nye si mabingwa wa kuua. Nye hamfi. Twaja tena. Kesho heshima ya askari yaenda kurudi. Hamtatumikisha tena askari wetu kufanya uchafu zenyu. Hehee miye nipo njiani. Oya wee wanangu wa Uyole mpoo! Hehe kazi yaisha hii. Na bado
Generation...sio GenesisGenesis Z sio wajinga kuchoma nchi yao, wao wanaandama kwa amani.
Na naona umetumwa uchafue au ushawishi watu watende vitu vibaya.
Wachome bandari kwani ndio inayoteka watu.