PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
D9 Tunataka Gen z million 15 ikulu na bungeni kisha kazi inaisha asubui tu, tunaposema hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi wataelewa.

Tena hao machawa watalala na viatu kama sio kukimbia nchi.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
GT
Tumesahinda.

1. Hawana namna

2. Hawana uwezo wa kutuzuia

3. Hawana uwezo wa kuoiga rosasi tena

4. Watatusililiza

5. Wana hofu isiyo kifani

Tukutane barabarani

20250712_193436.jpg
 
Mapinduzi ni jambo dogo kuliko mauaji na utekaji, anaye fikiri mapinduzi ni suala zito kuliko uhai ni chizi hana akili.

Mapinduzi bado hayatoshi hata nusu kulipa damu za watu waliouliwa. Huwezi kuua halafu tukakuacha salama.
 
Back
Top Bottom