TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
Lazima tuwaondoe hawa wakoloni wa sasa,hata babu zetu akina nyerere wangekata tamaa,wenda hadi saiz tungekuwa tunatawaliwa, tupate uhuru wetu mpya D9
Hawana pa kujifichaaaNa mnaokaa kwenye majengo ya ghorofa maeneo ya barabarani haki Kisha simu ina chaji na unazoom wale majambazi vizuri kutoka dirishani
Acha kiwakeGrab your pop-corn and enjoy the Game💪💪
Inafaida gani ku rekodi matukio wakati watu wanauliwa badala ya kuzuia wasiuliwe?Hakuna kurudi nyuma, mpaka nchi ikombolewe. Kama ambavyo polisi, jeshi na TISS Wana central zao. Basi na Gen Z wamekamilisha control centre Yao.
Centre iyo iliyopo Tanzania Ina technolojia ya Hali ya juu. Kuna vifaa vya kisasa kabisa , mfano Kutakuwa na drone za DJI MIN pro , kurekodi matukio yoote ya ukatili yatakayofanywa na polisi kwenye D9.
Snipers wanaojificha kwenye high building tutawamulika vizuri saaana.
In short the game has started
Mto wa mbu
Illinois-USA
Tulia mkuu utaona kitu roho inapenda....Inafaida gani ku rekodi matukio wakati watu wanauliwa badala ya kuzuia wasiuliwe?
Nadhani ingekuwa bora zaidi kama hiyo control center ingekuwa ya kuhakikisha hakuna damu ya mtu itamwagika katika maandamano kuliko kulenga kurekodi matukio ya vifo. Ili iweje?
Sometimes akili ya Mto wa mbu anaijua mwenyeweInafaida gani ku rekodi matukio wakati watu wanauliwa badala ya kuzuia wasiuliwe?
Nadhani ingekuwa bora zaidi kama hiyo control center ingekuwa ya kuhakikisha hakuna damu ya mtu itamwagika katika maandamano kuliko kulenga kurekodi matukio ya vifo.
Drone zitakuwa jammed....labda mrushe za optical fibre ambazo ni hatari kuziendesha.DJI MIN pro , kurekodi matukio yoote ya ukatili yatakayofanywa na polisi kwenye D9
Jammed keep dreamingDrone zitakuwa jammed....labda mrushe za optical fibre ambazo ni hatari kuziendesha.
Lakini, ili kuepusha hayo, fuateni masharti ya Polisi ya kuwapelekea barua. Na watoe ulinzi kwa route maandamano yatakapopita. Hiki ndicho lisikia kutoka kwa msemaji wa Polisi
Any frequency-operated based drones are prone to jamming!!! At the moment only fibre operated drones are immune to existing technology!!!Jammed keep dreaming