PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna vita bila kiongozi

Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa

Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love

Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku

Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane

Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka
 
Udini umeshindwa kabisa kuwasaidia

Sasa mumeona uje kivingine
 
Mikwara ya kuua imeisha, Sasa mnakuja na dharau au sio?
 
Moderator mmefanya nini sasa kuunganisha nyuzi ambazo maudhui hazifanani?

Mtu unapoteza mda kuandaa thread nyie mnaunganisha mnatukatisha tamaa watumiaji wa huu mtandao

Maxence Melo Mnatudissapoint sana watumiaji wa huu mtandao mna ubaguzi sana
 
Wamekuona unaandika upumbavu tu. Upumbavu wako unadhani mods hawauoni?
 
Watoto wamerudi salama kutoka shuleni. Wa chuoni naamini atakuwa salama, inshallah!
Safari hii nyie wapuuzi tuwaambie mapema, tumejipanga kuzilinda familia zetu. Na mkija kwenye familia zetu hatusubiri mrambishwe za manjagu, bali tutawarambisha zetu kwanza kama "self defense". Hizo za kauli za "mmetumia nguvu kubwa kututhibiti" zitafuata baadae. Sasa hivi njooni, TUNAWASUBIRI!
 
Mkoloni mweusi lazima atoke. We endelea kubweka tu
 
Hakuna kurudi nyuma, mpaka nchi ikombolewe. Kama ambavyo polisi, jeshi na TISS Wana central zao. Basi na Gen Z wamekamilisha control centre Yao.

Centre iyo iliyopo Tanzania Ina technolojia ya Hali ya juu. Kuna vifaa vya kisasa kabisa , mfano Kutakuwa na drone za DJI MIN pro , kurekodi matukio yoote ya ukatili yatakayofanywa na polisi kwenye D9.

Snipers wanaojificha kwenye high building tutawamulika vizuri saaana.

In short the game has started

Mto wa mbu
Illinois-USA
 
Back
Top Bottom