PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Habari Mkuu,

Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu ("Key Word Search") umebaini kuwa taarifa hiyo si ya kweli bali ni ya kutengenezwa na wapotoshaji kwani haijachapishwa katika ukurasa rasmi wa CHADEMA.

unaweza kusoma ripoti kamili hapo juu
Huruma sana... na muda ndio ushaisha hivyo tena hakuna kurudi nyuma
 
Wananchi wanatosha kuwa jeshi la nchi kwa muda kipindi hiki wakati ambao jeshi letu halisi limetekwa na wahuni.

Wananchi wananguvu zote za kupigania nchi yao D9
 
Miye zimwi walahi likujualo. Waniudhi wajua lakini sitaki mwisho wako uwe karibu kiasi hiki. Samuya ima wataka ama huraki lakini kujua ujue. Kuna wanaokula kisogo mayi mayi. Punguza wakuwaamini. Wajua nasema nini miye. Fanya ukae chonjo ujifiche walau Siku ine. Wajue wachache ulipo. Wanidharau Siku zote lakini udugu hili hapa. Nye Nye watu wabaya Sana. Miye sipo. Na bado
 
Huyu anatakiwa afirwe
 
Huwezi kuuwa wenye nchi kwa kusema unalinda nchi, unalindaje nchi wakati unauwa wananchi, unateka labda uwe mwehu.

Hapa hakuna ulinzi wa nchi bali labda analinda tumbo lake ulinzi wa nchi ni pamoja na kulinda raia wote, kama wameandamana na kuharibu mali jiulize kwanini waandamane sii walikuwa natekwa na kuuwawa ?

Tukutane #D9 tutakinukisha vibaya sana hatutakuacha kamwe
 
Moderator hehee unganisheni zote mwataka nini Nye. Waambieni wasione tuko kimya wakadhani tumechurura. Siye tupo Sana. Bila kuchoka walahi. Twakomboa nchi kutoka kwa wakoloni weusi. Vurugu walianza wao. Kuua walianza wao. Kufa hawafi wao immortal hehehee. Agustino Polepole acha kihelehele tulia tuli utaingia mchezoni baadaye. Tuachie D9 siye. Hawafi hao. Waishi akhera hao. Siye twafa. Tubebe picha za waliowaua. Mabango yapepee. Bila woga. Vurugu waanze wao. Siye tutamaliza. Na bado
 
Kwa tafiti zangu nimeona vijana washakimbia mji
 
Bila kuchoka. Mwatuma maskini wenzetu ambao sio immortal ili watuue mpaka maskani mwetu. Askari ni wetu. Tumekataa. Nao watawajibu kaeni kwa kutulia hatutaki mayowe
 
Back
Top Bottom