PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu jamaa ni km antena sometime mawimbi yanasoma sometime anatupandisha mnazi .. Ila kinga ni bora kuliko tiba
 
Enhe Mola hebu wape hawa "WATAWALA" wetu hekima na busara, ili tupite katika kipindi hiki kigumu..ameen!
 
Mimi nakuzingatia sana lakini kila nikifikiria kijijini ambapo natakiwa kuwapeleka ni Mbeya nakosa nguvu kabisa naona bora hapa town
Mbeya ni miongoni mwa maeneo hatari sana wakati wa maandamano
 
Mimi nakuzingatia sana lakini kila nikifikiria kijijini ambapo natakiwa kuwapeleka ni Mbeya nakosa nguvu kabisa naona bora hapa town
Kama nyumba ipo maeneo ya vurugu.... Peleka familia ata apo kibaha
 
Kutoka kuwa kisiwa Cha amani, mpaka kuwa kisiwa Cha vitani, hata hao watalii wanao kuja tanzania Wana moyo sana kwa kweli mi nisinge weza
 
Mlidhani mtachekewa chekewa hakuna muhalifu atakaechekewa amani italindwa kwa gharama yoyote, safari hii hamna mabom ya machozi ni za moto tu.

Ikiwezekana hata nyumbu laki 5 zikileta vurugu zote ziuwawe ili nchi ibaki na utulivu hakuna kucheka na nyumbu.
 
Hiko kikundi kama kipo basi ni bora wakiongezee nguvu, kinasaidia kuongeza amani na utulivu kwa njia inayoeleweka kirahisi
 
Mimi nakuzingatia sana lakini kila nikifikiria kijijini ambapo natakiwa kuwapeleka ni Mbeya nakosa nguvu kabisa naona bora hapa town
Hatuchekani kijijini ni tunduma ni sawa na kuchota maji kisiwani kupeleka baharini 😭
 
Sasa ushaambiwa ni bora utoke ukae barabaran kuliko nyumbani na hii nimeliongelea sana ..kufata watu majumbani ni strategy..Sehem sahihi ni bora kukaa barabaraani kama nyumba yako haina geti
Hata ndani ya mageti walikua wanatusha mabomu ya machozi labda kama mtu una handaki
 
Sasa ushaambiwa ni bora utoke ukae barabaran kuliko nyumbani na hii nimeliongelea sana ..kufata watu majumbani ni strategy..Sehem sahihi ni bora kukaa barabaraani kama nyumba yako haina geti
Wakutwange vizuri
 
Back
Top Bottom