PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aya ukivuka salama umshukuru Mungu maana yeye hana machawa...
 
Hata ikatokea watu hawakutoka, bado haiwezi kubadilisha chochote. Huwezi kuongoza watu wasio kukubali! Watu ambao hawakukuchagua kutokana na uwezo wako mdogo. Ni mpaka tu uwe huna mshipa wa aibu ndiyo utaendelea kuwa king'ang'anizi.
 
Zisiwepo kelele za ohh waandamaji/vibaka wamepigwa risasi.Huwezi kufanya jambo linalohatarisha usalama wa Nchi ukaachwa tu.Njooni na majeneza ili kazi iwe rahisi.
This time msijione mko salama sana , na kwambia mkilianzisha wenda idadi yenu kufa ikawa sawa na ya waandamanaji , au ya kwenu pamoja na familia zenu inaweza kuwa juu, unafikili this time kuna anaekuja kufa kizembe kama last time ambapo watu walikua hawajui mipango yenu, sasa ipo bayana ,
 
Hakuna bunduki, bomu, au vitisho na vichambo au mtu yoyote atakayeweza kuzuia maandamano ya kudai haki #D9 tutafanya maandamano makubwa sana hatoamini
Baada ya hotupa ya jana nikahisi watu watarudi nyuma ila daaah aisee mtaani kumenuka.Watanzania wamepata wapi huu ujasiri aisee?
Wanasema ni bora kufa barabarani waka enjou ahera hizi ni kauli za hatari sana
 
Desemba 9 imethibitishwa kuwa siku ya Uhuru wa Tanganyika, hii siku muhimu tukipeleka maandamno tarehe 25, tutafeli tukomae na D9 mimi nipo je wewe utakuwepo? "Aluta continua"
 
Baada ya hotupa ya jana nikahisi watu watarudi nyuma ila daaah aisee mtaani kumenuka.Watanzania wamepata wapi huu ujasiri aisee?
Wanasema ni bora kufa barabarani waka enjou ahera hizi ni kauli za hatari sana
Watanzania gani hao Lisa au wenzetu mnaishi wapi 😅😅😅

Mbona huku kwetu watu wanakimbilia vijijini tangu mwishoni mwa November

Na hotuba ya jana imegongelea msumari kabisa kama mtu una akili timamu ushajua utakachoenda kukutana nacho siku hiyo

Na kabla ya Kusema Samia Jana ilisemwa pia na PM Mwigulu kabla naona Samia kagongelea tu msumari
 
Sio tu shughuli za nchi zitasimama dede bali Vituo vya polisi kuelea December 9 vinaweza kufungwa au kusiwepo na askari yoyote kituoni.

Hatutakubali tutapambana tumedhamilia kuchukua nchi yetu
 
Wakitoka SI ndo vitapigwa viberiti vyote? Tusifikie huko Kuna maisha baada ya maandamano
 
Mayii hehee. Sijui miye walahi. Nye mwasemaje nye. Jeshi la sungusungu Nye. Hehee mwachekesha. Ima unawatoto mijini ima wapo chuoni kwenye miji. Walahi rudisha kijijini. Wasema vita vya farasi zaumia nyasi. Bibie kuna askari wakutosha wataka mharibia tena. Nye mwakaa majumbani hiyo D9 mjipange walahi. Wajua nyumba haiko na geti wala ukuta peleka kijijini. Immortal waenda kutoana roho hehee. Mayii. D9 hakuna matani walahi. Na bado
 
We jamaa fala tu.....unamtisha nani.....watu waondoke ili?....karibuni hiyo siku mtajua hamjui...
Fanya kazi lofa wewe...maisha hayakusubiri
 
Back
Top Bottom