Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
ujumbe ufike
9/12 nitakua road tena kwa kujipanga kuliko awaliGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
View attachment 3500052View attachment 3500053
Unaniuliza kama nani ?We kama nani lakini!!?
Polisi,mjedaw,mwananchi au nani!!?
Maaana mo29 walikufa ndugu zetu na serikali IPO madarakani!
ahaaaaaaaa shaba za kichwa zinakusubiriAmani iwe nanyi watu wote
Watalii tunawaomba mtupishe kidogo, tumalizane kwanza na huyu muuwaji kigagula
Maandamano yatakuwa ni makubwa zaidi
Africa nzima tunaenda kuwaonesha ni jinsi gan ya kuandamana
Tukutane barabarani
D8-9
SAYUNI BOY
Mange ndo anaye andamana?Mange kasogeza mpaka 25d so 9d hakuna maandamano wala vurugu
Ndo mchochezi wetu na ndo alituchochea mo29Mange ndo anaye andamana?
Uzuri MAONYO mliisha pata ya kutosha hiyo siku hakuta kuwa na maombi tena wala onyo.Amani iwe nanyi watu wote
Watalii tunawaomba mtupishe kidogo, tumalizane kwanza na huyu muuwaji kigagula
Maandamano yatakuwa ni makubwa zaidi
Africa nzima tunaenda kuwaonesha ni jinsi gan ya kuandamana
Tukutane barabarani
D8-9
SAYUNI BOY