PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mayii! Oktoba 29 mlikuwa mwatisha watu mkafeli. Mkaua wee Nye mabingwa wa kuua ndugu zetu walahi twawapa salute. D9 hamtishi watu mwaleta propaganda.

Nasema msipotajilika mwaka huu kwa pesa za kumwaga damu mtajutia. Waambieni wawaingizie kabisa mamilioni ya pesa kwenye akaunti zenyu. Siye twaja mtuue . Mayii! Heehee na bado
 
Ningetamani kuona Serikali inaliangalia hili swala kwa jicho pana ili kumaliza hili tatizo kuliko kwenda kwenye media na kutangaza magari yaliyochomwa moto wakati moto mwingine unaendelea kuchochewa sijaelewa kwa nini wanaona kawaida haya mambo kutokea wakati wanaweza kurudi nyuma na kuona walipokosea wakatatua tatizo kwa maridhiano ya ukweli na Tanzania ikarudi kama zamani na shughuli zikaendelea bila matamko wala wanajeshi mtaani..
 
20251127_073541.jpg


#D9 🇹🇿 📍 🔥
#SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa #riseupTanzania
🫂🇹🇿🇺🇬🔗
 
Waendelea sio. Mwamwaga Askari barabarani sio. Walahi kutapatapa huko. Nawaambieni katu hamtozuia maandamano ya D9 kwa mbinu zenyu hizo. Mwapiga watu lockdown hehee. Mwasema watu Siku hiyo wakae ndani. Nye vipi. Siku ya Uhuru watu wakae ndani mayii! Mtajua nguvu ya umma walahi. Twavaa picha za mlowaua. Na bado
 
Kutoka mtandaoni

Guys Guys Guys ya mwigulu inatrend mtandaoni gen z wameibadilisha kuhamasisha mtoko wa #D9.

Guys Guys Guys tukutane #D9
 
Katika uhalisia nchi ilivyo kwa sasa haina dira imenyambuka nyambuka utafikiri haina uongozi naonya hali inaweza kuwa mbaya zaidi #D9.
Kuna pande mbili ; muongozaji na wale anaowaongoza. Ni lazima wawe kitu kimoja kama ni nchi ili iweze kusonga mbele kimaendeleo. Iwapo waongozwaji hawamtaki anaewaongoza, basi hapo ujue hakutakuwa na maendeleo hata kama muongozaji atalazimisha!!
Kwasasa Tanzania hakuna serikali halali mbele ya wananchi wake na jumuia ya Mataifa ; Samia lacks legitimacy.
 
Kuongea na waziri anayefanya kazi na muuwaji ni usaliti vijana tunapaswa kuendeleza walipo ishia ndugu zetu walio uwawa.

Huyu waziri wa vijana ni mbumbumbu na kilaza wa mwisho huwezi kufanya kazi na wauwaji kisha ukawa na akili timamu.

Waziri njaaa hayupo kwaajili ya watanzania

Ni kwamba hatumsikilizi na hatupo chini ya uongozi wiwote sisi tupo huru.
 
Back
Top Bottom