October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Miye tayari nilishajiprintia tisheti yenye picha ya mzee wangu. Nitabeba na picha walahi kama bango langu. Nilirudi nchini kwaajili hiyo walahi. Wenye ndugu waliouawa tokeni wote na picha zao. Nye ambao hamkuwa na ndugu walouawa tokeni na bendera na mabango. Twataka wasiokufa watuue wote. Polisi wenye kuua maelfu ya watu wao kulinda mu mmoja na genge lake. Mayi! Tutavaa picha za mashujaa mliowaua. Picha ya Polepole msisahau. Wale kikosi kazi mwajua chakufanya. Na bado