PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wacha upumbavu wewe! Gen-Z mmeshawaua wala hawana cha kupoteza tena! Tutaona kama mtawamaliza wote! Gen-Z wameshakubali kufa mashahidi wa haki ya Tanganyika na tutawaenzi milele!
Jichanganye hiyo tarehe basi. Ukidai "haki"
 
Hii picha kama ni yako kuwa live useme uliye fanywa kinyesi sio kuzaliwa nukuhuu ya adija kopa mtoto wake analiwa na domo

90340gg.jpg
 
Kaandike hii au uingie live tiktok na instagram huko ndio kuna gen z uone kama ma gen z wataogopa. hapa jf ni mafaza kama wewe na mashangazi tu unatupigia kelele tu.
Hata Sisi mafaza tuko na Gen-Z kuwatia moyo mpaka kieleweke. Sisi yalitushinda lakini vijana wanataka kututoa kimasomaso!
 
Utagusana na risasi ukiwa njiani kuelekea Akhera
Hamna kitu tuna hamu nacho kama kwenda ahera, nasikia huko maisha ni poa sana. Hii itasaidia nyie Tiss uchwara kupandishwa vyeo na kuendelea kusambaza ukimwi.
 
#D9
Kazeni mikanda, #D9 🇹🇿 📍 ni badiliko la mchezo 📌🔥 Dikteta #Samia_Suluhu atakabiliana na reggae halisi ijayo 9th December 2025 📍 Ni 100% wajibu wetu kuirejesha nchi yetu Tanzania.
20251125_085621.jpg


Hatuhitaji kibali chochote kutoka kwa mtu yeyote, tuna haki ya kupinga dhuluma na uonevu unaofanywa na Suluhu na wapenzi wake.

#D9 #MD9 🇹🇿 📍
#SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa #riseupTanzania

📍 Maandamano 9 Disemba 🔥💪🏿🫂
 
Wanaoweza kuzima maandamano ya gen z ni rais Lissu na waziri mkuu polepole na ndio moja ya kiini cha maandamano ya Gen Z.

Watu hawa wanaweza kuongea hadi na ulaya, na wakina mange, na gen z na kuwatuliza. Haya waachieni hawa wanaweza kufanikisha maridhiano.
 
Trend mitandaoni gen z wanasema wanatoka million 10

Ikumbukwe Gen z wanakadiriwa kuchukua takribani asilimia 60% ya watanzania wa sasa.

million 10 Idadi hii ya waandamanaji ni kubwa sana na hata jeshi na silaha zao hawata waweza kuwadhibiti hata majeshi yote yakiungana.

FB_IMG_17640266355957670.jpg
 
Leo nimeota ndoto ambayo sijaielewa.
Katika ndoto nikaona maandamano yanayopangwa yakishindikana kisha nikaona jambo kubwa tareh 25 Dec na tareh 1 Jan 2026.
Wenye ufahamu nini tafsiri ya ndoto hii.
 
Shaba zinanuliwa kwa kodi zao , acha ziwamalize mbaki wenyewe mama wenda nyie mpo moyo wa dhahabu, unalingia shaba why usilingie mnyumbuliko wa wa viungo vyako kabla ya shaba , Pae CCP Moshi, au jkt, au jwtz , mafunzo yako ya kwanza yalikua ya shaba au kifalu ? Mtakipata mkitakacho Mungu yupo kazini.

Kwamba bila shaba hamuwezi toboa sio , niwatakie kila raheli na shaba zenu


29 Oct wale wapumbavu ambao hawakua na sale wakionekana badilisha Magazine wajiulize picha zao zilipatika vipi na mfano aliewapiga picha hata angekua na mishale ya sumu wangekua hai, maana mpaka mtu amepata nafasi ya kuwapiga picha ni kwamba walikuwa kwenye tageti yake ,alichokosa pale nyenzo tu.


Leo unakuja na upumbavu wako hapa eti shaba ,zitawaua wananchi na zitawarudia pia , unajivunia shaba sio mbona bila shaba hata mita mia huwezi songa ,pumbavu

Yani nyie mmejificha kwenye kichaka cha shaba na pingu, why ikitokea mmeteka mtu mpeleke mjuapo ila acha zipigwe ili mtu afe anajitetea
 
IMG_20251126_095730_961.jpg


#D9 🇹🇿 📍 🫂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 #SamiaMustGo #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania
 
Back
Top Bottom