PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ha ha endelea kuwadanganya wenzako hivyohivyo. Jeshi halitakubali kirahisi kumsaliti mtu waliyeapa kumlinda. Wananchi mnadanganywa tena mtoke mfe! Kwasasa subirini kwanza maza alete hiyo katiba mpya mapema!
Nb. Msidanganyike kwamba pakipinduka jeshi litawachekea. Wao na polisi watakuwa karibu zaidi. Mtapata taabu sana .
 
Presha kutokea Nje kuja Ndani ni Kubwa.

Jipu limeiva !!.

Dec 9 wote mtoke wote Kwa pamoja, wote Tuliouliwa Watoto, dada, kaka, baba, mama, Shangazi yaaan kama wewe unajijua Umeuliwa MTU wako, bado wameenda kuizika Maiti yake, bado wameichoma moto Maiti yake , aiseee unalalaje Ndani ??? Unaanzaje Kujificha Ndani???


Dec 9 ni wooote
 
Sasa hivi ni mwendo wa kula zabibu na kuoga maji ya chumvi Ikulu Chamwino, damu alizomwaga Dar es salaam zinampa mawazo sana...
 
Mimi sio nabii #D9 samia na kina msigwa watakimbia hii nchi ndio maana hakuna sherehe yoyote nchi nzima itasimama hii.

Je, samia ataenda kujificha kwenye kambi za jeshi, sizani kama atafanya hivyo kwa sasa analiogopa sana jeshi. labda akimbilie uarabuni.
 
Yan akisimama njale akilala njalee...huwez kukatisha uhai wa watu wengi vile au uish kwa aman..lazma na ww utangulizwe kupunguza hasira , watu waliouawa bila hatia
 
20251017_093349.png
 
Alitisha Muliro na watu wakatoka sembuse wewe kidampa usiye hata na rungu.
Sasa hivi wanakazi ya kukana tu vipeperushi vyao. Mziki wa mass grave wa CNN unawapa njozi za giza sana wanaiona ICC kila siku ndotoni
 
Umetoka zako Kimara Bonyokwa huko unataka kutetewa na CNN. Jichanganye hiyo tarehe ujishindie tiketi ya Parapanda.

#Haswa wanachuo mnakwenda kwisha kwa ujinga wenu.
Wacha upumbavu wewe! Gen-Z mmeshawaua wala hawana cha kupoteza tena! Tutaona kama mtawamaliza wote! Gen-Z wameshakubali kufa mashahidi wa haki ya Tanganyika na tutawaenzi milele!
 
Back
Top Bottom