PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Shetani aliwaza sku moja ivi nkimpindua Sir God si nachukua nafasi yake? Ndan yake aliona ana nguvu sana kama ulivo kijana wewe unaetaka kuandamana mda hui, ila ukwel ni kwamba utakapoandamana litakalokukuta ndo itakua mwisho wako, wale wote waliokua wanakupa kichwa wataiacha familia yako ikiwa na mateso x2, watoto wako watakua yatima na mke wako ataenda kuolewa na mtu mwenye akili zaidi, katika blog zetu uchwara bila kujua ulikuepo duniani utapewa jina kama fungu (Mashujaa)

Watoto wako watateseka na kunyanyasika katika ulimwengu ulioupigania, waliokwambia ukaandamane watapokea pesa zao kama alivopokea madenge billion zake na wewe utabaki kwenye fungu la wajinga kwa jina la mashujaa, mtoto wako atakapokua mkubwa ndipo ataelewa alikua na mzazi mjinga kuwahi tokea
 
Nitaicha na mateso yapi zaidi ya haya mnayotupatia Kwa mawizi yenu
 
Polisi wajiandae wasijiandae maandamano ya #D9 yatawalenga zaidi wao hatutawapa tuzo kwa mauwaji waliyo yafanya lazima watakutana na jibu kali.

Wasipo kuja barabarani sisi tutawafuata vituoni na kwenye makazi yao kuwawajibisha ipasavyo.
 
Poleni sana. Siku yenu ya Uhuru, 09.12 Mzanzimbari (Idd Amini Mama) anaamuru msisherehekee siku yenu hiyo muhimu na mnaona ni sawa tu! Nani kawaroga? Hivi kweli hamuoni tatizo la muundo huu wa Muungano? Amkeni hima! Desemba 9, 2025 daini uhuru wenu kamili. Nimemaliza
 
Sio jambo geni hata magufuli mtanganyika mwenzetu aliwahi kuzuia na pengine naweza sema magu ndo mwasisi wa hilo jambo
 
Wahenga walisema "Siku za mwizi ni 40".

Kuna mtu nimekutanq naye amenisanua hapa kuwa kutoka October 29 (MO29) hadi December 9 ni siku 40 kamili.

Sijui alitaka kuniambia nini maana baada ya kunipa hiyo nasaha akaniambia "Amani Iwe Nawe", akaenda zake.
 
Hii imekuja automatical yaan mtu alikua anatafuta tarehe ya siku ya sherehe ya kitaifa mungu akamwambia hii itakua 40 yao mashujaa huu ni mpango wa mungu
 
Kukataza kupinga na kuhamasisha wananchi wasiandamane ni kuvunja sheria za nchi sheria ziheshimiwe.

Kwa mda mrefu sheria zimekuwa zinapindishwa.

Hakuna aliyejuu ya sheria. ukijifanya upo juu ya sheria sisi tutakuwajibisha vikali.
 
Back
Top Bottom