canular
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,085
- 1,314
tukutane road 9/12Amani iwe nanyi watu wote
Watalii tunawaomba mtupishe kidogo, tumalizane kwanza na huyu muuwaji kigagula
Maandamano yatakuwa ni makubwa zaidi
Africa nzima tunaenda kuwaonesha ni jinsi gan ya kuandamana
Tukutane barabarani
D8-9
SAYUNI BOY