Acheni kupoteza Muda na kujichosha na kutumia Rasimali Mali vibaya.
Hakuna MARIDHIANO, hakuna Cha Wazee hakuna Cha kamati ya Amani, hakuna Hakuna hakunaaaa hakunaa kabisa
Mpaka kufikia Sasa, mmeshashindwa, Maandamano ni Tanzania yote, safari hi mtashangazwa hasaaa, Maandamano ni Mikoa yote ya Tanzania na Wilaya Zote za Tanzania !!!.
Hakuna Jiwe litasalia juu ya Jiwe !!!.
Nyie simnasema, waandamanaji Walipwa???
Haya Ngoja Dec 9 baada ya hapo mtasema ni matrillion Mangapi yametumika kulipa Nchi Nzima !!.
Mmeua Watanzania mkifurahia, Miaka mingi mwafunzwa kutumia Silaha ila hamkuwahi kuzitumia, Okt 29 mkaamua kujifurahisha na kúfanya Zoezi la Kuua watu???.