Ewe kijana, mzee, mama, baba, kaka, dada na wengine D9 hii haap inabisha hodi. Ameshasema nguvu inayotumika ni sawa na utakavyokuja wewe. KARIBU UWANJANI.
Sasa basi iko hivi, ule msamaha haukutolewa bahati mbaya, na kwa kauli kwamba wengi walikua hawajui wanachokifanya bali kufuata mkumbo ulikua mtego.
Tutakaotoka D9 tutoke tukijua kuna kufa, na endapo tutakamatwa basi tusitegemee tena kutolewa kwa msamaha bali mapambano ya kisheria au tutapambana ndani kwa mateso makali mana hakutakua na kwamba walikua hawajui wanachokifanya.
Tutakaotoka tujue tunaenda kufanya uhaini Rasmi tukiwa tunajua na si kufuta mkumbo tena kama mwanzo mana lengo kuu ni kuiondoa serikali madarakani.
Note: maandamano ya amani ni kama hayawezekani kwasababu wapo wenye mlengo chanya wa mabadiliko (ni wachache watatoka) ila wapo waliojipanga kujinufaisha kutokana na maandamano hayo (hawa ndio wengi) na lazima watavuruga dhana ya maanadamano ya amani.
D9 is there do it at your own risk.