Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa

Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi

juzi huko.

Je wataua na kuteka wangapi?

Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha

Haya mambo yanamwisho.

Your browser is not able to display this video.
 
Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa

Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi

juzi huko.

Je wataua na kuteka wangapi?

Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha

Haya mambo yanamwisho.

Ahsante sana Kijana Mzalendo!

Hizi ndizo nyimbo za kusikiliza watu wenye akili timamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…