Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

Tuondolee Wahuni hao!
Screenshot_20250615-194048.jpg
 
Ukiachana na ile ya nywi nywi na hii
me nimesikiliza km 5 hivi

ila ile ya guys guyz dogo katisha ingawa ni fupi!
 
Tungeni nyimbo, tukaneni, choleni vi bonzo ila tunaomba msiiingie barabarani, Mtapigwa Risasi.
Uku kwenye Social media tambeni mtakavyo, toeni hasira zote ila kwa mapenzi ya dhati vijana wa GN Z msiiingie road uko hakufai.
 
KUNA GOMA FLANI LA AINA HII NILILISIKIA 2013, JAMAANA ANACHANA SANA, ANAKWAMBIA TIGO,ZANTEL,VODAAAA! HIYO YOTE NI MITANDAO YA MASH*G*! anaeijua hii nyimbo anikumbishe
 
Hii mbinu hii ya kuteka na kupoteza watu imefeli bakubwa , hoja hapa ni nikuongea tena kwa kujenga hoja kwa vijana.
Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa

Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi

juzi huko.

Je wataua na kuteka wangapi?

Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha

Haya mambo yanamwisho.

 
baada ya kuingalia kideo, mazingira sio ya bongo kabisa kwahiyo asijifanye mbuzi wa kafara wakati yuko mbali na bucha
 
Nyumbu unganeni nae muandamane tena , sahivi serekali inaogopa picha za Satellite za Lary Modowo hamtauwawa tena
 
Back
Top Bottom