King Nkondo JF-Expert Member Joined Jan 1, 2023 Posts 2,374 Reaction score 3,311 Dec 20, 2025 #41 Hii mbuzi tutainywa supu mapema baada ya mkesha wa Christmas!!
O Ole jaminati JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 284 Reaction score 251 Dec 21, 2025 #42 The Burning Spear said: Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho. View attachment 3518227 Click to expand... Yes
The Burning Spear said: Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho. View attachment 3518227 Click to expand... Yes
J johnmashilatu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 1,263 Reaction score 1,753 Dec 21, 2025 #43 Hatimaye dawa ya watekaji imepatikana: nikipotea msinitafute.
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,662 Reaction score 5,558 Dec 21, 2025 #44 Dogo kaupiga mwingi, sio wale wabana pua machawa ya cccm.