Na utaua wangapi? Mwanadamu akifikia hatua ya kutoogopa kufa hakuna kitu utaweza kumfanya...and we are getting there!Kuna kazi kubwa sana mbeleni, kuua watu haijawahi kuwa suluhu ya matatizo!
Hapakuwa na mabomu ya machozi?
Ngoja tusubiri mawaidha ya CHALAMILA.
Ugonjwa wa risasi?Hata waliokufa jana kwa magonjwa wanaimbwa kishujaa haki ya Mungu bongo sihami.
Huyo kafa jana alikuwa anaumwa malaria nashangaa anaimbiwa nyimbo za ushajaa!Ugonjwa wa risasi?
Kwamba hawana taarifa kua kafa kwa Malaria badala ya risasi?Huyo kafa jana alikuwa anaumwa malaria nashangaa anaimbiwa nyimbo za ushajaa!
Thibitisha.Huyo kafa jana alikuwa anaumwa malaria nashangaa anaimbiwa nyimbo za ushajaa!
Usibishane na walikuwa wameshika bunduki siku Ile. Hilo duduna lipo hapa kupotoshaKwamba hawana taarifa kua kafa kwa Malaria badala ya risasi?
Sio bana huyu ni dereva wa bajaj alikufa kwa kugongwa na gari hii ni kabla hata ya maandamano miezi kadhaa nyumaHivi ndivyo Gen Z huko Mbeya walivyomuaga mwenzao kishujaa, aliyefariki kwenye maandamano
HawanaKwamba hawana taarifa kua kafa kwa Malaria badala ya risasi?
Amini nachokwambia, we maiti ya tangu 29th unadhani bado haijazikwa?Thibitisha.
Tunahitaji viongozi wenye tafakari za namna hii.Kuna kazi kubwa sana mbeleni, kuua watu haijawahi kuwa suluhu ya matatizo!