MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Defiance
Hapo Gen Z sasa kinakuja Gen Alpha, hatari huko mbeleni, Tanzania sio kisiwa cha amani tenaSerikali iendelee kufunga macho na kuziba masikio tu'
Hichi kizazi siyo, Chama Cha Mboga Mboga mjitafakari
Tunaposema CCM kumejaa vilaza, ndio kama hivi sasa, wewe ni kilazaHata waliokufa jana kwa magonjwa wanaimbwa kishujaa haki ya Mungu bongo sihami.