Gen Z Mbeya wakimuaga mwenzao kishujaa, aliyefariki kwenye maandamano

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Hivi ndivyo Gen Z huko Mbeya walivyomuaga mwenzao kishujaa, aliyefariki kwenye maandamano makubwa ya kitaifa yaliyofanyika siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 hadi 31, 2025 na kusababisha polisi kuua mamia ya raia.

Your browser is not able to display this video.
 
Halafu samuya kilaza anadhani anaweza kufunga midomo watu kupitia kuteka na kuua....akili ndogo kbs inatutawala, badala apambane na chanzo cha tatizo anapambana na matokeo!
 
Hata waliokufa jana kwa magonjwa wanaimbwa kishujaa haki ya Mungu bongo sihami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…