Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari.
- Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania.
- Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano kujiepusha na mipango ya umwagaji damu zaidi.
- Ili kulikwamua taifa kutoka hali ilipo, tunataka kuundwa kwa Serikali ya Mpito.
- Serikali ya Mpito inaelekezwa pia kuunda Tume Huru ya Ukweli, Usuluhishi na Upatanishi yenye watu waadilifu, huru, na wasio na maslahi binafsi.