PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Haya ndiyo mambo yana paswa kuwa JF siyo habari za ma chawa.
 
Gen z kubalini maridhiano mambo yasiwe mengi, mtaharibu ugali wa watu wasielewa nini kinachoendelea, nendeni mkazungumze amani idumu watu waendelee na mishe zao za kila siku
Damu za watu haziwezi kupotea bure wengine waendelee kula maisha hapana jino jino Polepole alisema maridhiano baada ya kiini macho mnakiita uchaguzi hakuna
 
Kuandamana ni uhalifu wewe mpumbavu
Na je uhalifu anapigwa Risasi

Huyu muuaji ameshalegea mbaya kutoka kusingizia wakenya Hadi kulia bungeni
Huyu muache yupo kwenye rada kuna I'd tutaishi nazo just wait mda sio rafiki
 
Gen z kubalini maridhiano mambo yasiwe mengi, mtaharibu ugali wa watu wasielewa nini kinachoendelea, nendeni mkazungumze amani idumu watu waendelee na mishe zao za kila siku
vipi kuhusu haki?
 
So umeamua kutukana, kwamba watu wetu wameuliwa na bado mwatutukana sio, Mungu yupo na anenda kujibu kupitia watu wake mnaowatukana tunza hii
Wakwapua Mali za watu, wachoma Mali za watu, waharibifu wa Mali za watu wafe tu
 
Chakwera katumwa na jumuiya ya madola kupatanisha, mtamuambia nini? Kubalini kupatanishwa
 
Hapa kinachoitajika ni hekima toka kwa watawala wetu!

Maisha ya watu ni bora zaidi kuliko mali!
Hiki ndicho kimekosekana tangu mwanzo. Mama ana akili ndogo sana! Wala tusingefika hapa tulipofika!
 
Back
Top Bottom