Hekima watoe wapi hao demonsHapa kinachoitajika ni hekima toka kwa watawala wetu!
Maisha ya watu ni bora zaidi kuliko mali!
Kwanini mkuu ?Mwishoni mwa mwezi wa 11 niende shamba kwanza aisee 😅😅😅
1 Timothy 3:1-5 inasema tunaishi nyakati za hatari, kwani watu watakuwa wabinafsi na wenye uonekano wa nje kuwa ni wacha Mungu ili hali kiukweli wakimkana Mungu kutokana na Matendo yao.Hapa kinachoitajika ni hekima toka kwa watawala wetu!
Maisha ya watu ni bora zaidi kuliko mali!
Watawala wenye hekima wameisha wamebaki wa kushauri kuua vijana wengi ili wapungue wanasumbua.Hapa kinachoitajika ni hekima toka kwa watawala wetu!
Maisha ya watu ni bora zaidi kuliko mali!
Mkuu kazi kazini ,Taifa kwanza mengine badae.Kazi ipo! Sijui wataua wangapi
Amani ya nchi ni Bora kuliko msukumo wa balegheHapa kinachoitajika ni hekima toka kwa watawala wetu!
Maisha ya watu ni bora zaidi kuliko mali!
Ofisi Yao Iko wapi?.. viongozi wao nani?Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari.
- Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania.
- Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano kujiepusha na mipango ya umwagaji damu zaidi.
- Ili kulikwamua taifa kutoka hali ilipo, tunataka kuundwa kwa Serikali ya Mpito.
- Serikali ya Mpito inaelekezwa pia kuunda Tume Huru ya Ukweli, Usuluhishi na Upatanishi yenye watu waadilifu, huru, na wasio na maslahi binafsi.
View attachment 3503100View attachment 3503101