Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Amani haipatikani bila haki wewe chawaAmani ya nchi ni Bora kuliko msukumo wa baleghe
Wataudhuria kwa zoomIla sielewi wata ji organize vipi hawa gen z tz kutafuta viongozi sahihi ili kupeleka malalamiko yao?
Watatumia njia gani ?
Ofisi mnataka ya nini mnataka kuendeleza mauji yenuOfisi Yao Iko wapi?.. viongozi wao nani?
Maridhiano fake walipanga kabla ya uchaguziWale viherehere wa maridhiano feki hatima yao itaamuliwa na Watanganyika
Means ni mtuu na simu anachapisha mtandaoni hayo machapishoOfisi mnataka ya nini mnataka kuendeleza mauji yenu
Ofisi ni Kwa watanzania wote wanaopenda haki
Haki gani imenyimwa?Amani haipatikani bila haki wewe chawa
Haki ikitendeka amani ya kweli inakuja yenyewe
Mama yako kashalegea na Bado Hadi atende haki
Watamalizika wajichanganye waoneMaridhiano fake walipanga kabla ya uchaguzi
Wakishaia ndo waridhiane
Kamuulize mama yako aliyeomboleza dk Moja mbele bunge lenu fakeHaki gani imenyimwa?
Walianza uhalifu,wakashughulikiwa kisha wakaombewa,hawakuanza kushughulikiwa.. hapana,walianza uhalifuKamuulize mama yako aliyeomboleza dk Moja mbele bunge lenu fake
Baki ukijiuluza!Ila sielewi wata ji organize vipi hawa gen z tz kutafuta viongozi sahihi ili kupeleka malalamiko yao?
Watatumia njia gani ?
Mbinu wanazotumia Gen ZMeans ni mtuu na simu anachapisha mtandaoni hayo machapisho
Kuandamana ni uhalifu wewe mpumbavuWalianza uhalifu,wakashughulikiwa kisha wakaombewa,hawakuanza kushughulikiwa.. hapana,walianza uhalifu
Hakukua na maandamano bali uhalifu na vuruguKuandamana ni uhalifu wewe mpumbavu
Na je uhalifu anapigwa Risasi
Huyu muuaji ameshalegea mbaya kutoka kusingizia wakenya Hadi kulia bungeni
Uhalifu wa kupiga raia Risasi sioHakukua na maandamano bali uhalifu na vurugu
Ofisi ya nini, kiongozi ni kijana yeyote wa Tanzania hata wewe unaweza kutoa maoni yanayojenga ukitoa ya kupotosha vijana wanakushukia.Ofisi Yao Iko wapi?.. viongozi wao nani?