Gen Z tusimsikilize Mange Kimambi, 09/12 tujihami kwenye maandamano

Gen Z tusimsikilize Mange Kimambi, 09/12 tujihami kwenye maandamano

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani.

Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience.

Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, magari ,ofisi za CCM ofisi za kata ndo kilifanya Dunia nzima itupe macho yake Kwa Tanzania.

So 09/12 vijana tusitoke kizembe, tujihami, polisi akileta ujinga hasitoke salama.

Kwa Arusha tulifanikiwa saaana, now tunajipanga kukinukisha tena Arusha.

Mto wa Mbu,
Katibu-hamasa wa Maandamano
Illinois -USA
[email protected]
 
Kama wameua hadi watoto ambao hawakuandamana na familia zisizo na hatia hata tukiandamana kwa amani watatuua lazma tuwe na zana kadhaa, hawana jema hao 😏
Yes! Tukiandamana kwa AMANI halafu wakaanza kutuua basi itatubidi wale wanaotuua tudili nao sio kwenda kuchoma biashara ya mwananchi mwenzetu ambaye hana hatia.
 
Maandamano muhimu yapangwe vizuri. Ila ni kazi ngumu sana kujipanga. Inabidi yawe kama ya Tahriri Square.

Watu milioni mbili, tatu mjini kuandamana kwa siku, ikibidi wiki kadhaa mpaka Rais ajiuzulu. Hakutakiwi kuwa na fujo, huduma za chakula, maji, huduma za afya ziwepo.

Yoyote anayetaka kufanya uhuni azuiliwe na organiser.

Polisi hawawezi kupiga risasi watu milioni mbili.
 
Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani.

Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience.

Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, magari ,ofisi za CCM ofisi za kata ndo kilifanya Dunia nzima itupe macho yake Kwa Tanzania.

So 09/12 vijana tusitoke kizembe, tujihami, polisi akileta ujinga hasitoke salama.

Kwa Arusha tulifanikiwa saaana, now tunajipanga kukinukisha tena Arusha.

Mto wa Mbu,
Katibu-hamasa wa Maandamano
Illinois -USA
[email protected]
Whether muandamane au msiandamane, yafuatayo myategemee:-

1.Samia anaendelea kuwa Rais wa JMT hadi 2030

2.Mkiandamana mtachezea risasi kama kawa, Mafwele hacheki na kima

3.Lawama za dunia kwa Serikali kuua wananchi wake zita trend kwa siku 3 hadi wiki moja, kisha tutawasahau

3.Miili yenu itafukiwa kwenye mashimo ya pamoja hata ndugu zenu hawatawaona.

4.Sisi tutaendelea kuishi kusubiri maandamano mengine

5.MangeKimambi atazidi kupata views na followers wengine na mapato yake kupanda

Vijana acheni kutumika kusukuma agenda za wanasiasa
 
Wote mvunjwe miguu.
Maana mmeshindwa kutumia miguu kujitafutia kipato Mnataka muishi kwa mgongo wa jasho la watu Wengine kwa kuwaibia watu Mali zao.
 
Matusi ni silaha ya mwenye kushindwa

Narudia tena upo zako USA na hautaki maandamano ya Amani nchini mwako....Inatafakarisha sana 😟
Yeye atakinukisha huko Illinois 🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom