Gen Z tusimsikilize Mange Kimambi, 09/12 tujihami kwenye maandamano

Gen Z tusimsikilize Mange Kimambi, 09/12 tujihami kwenye maandamano

Mimi namuunga mkono Mange maandamano yawe ya AMANI kinachotakiwa ni numbers.
Hawa wengine ni wahuni wa Abdul tu wanataka kuleta hujuma ili kusudi waandamanaji waonekane ni watu wa fujo wasio na madai ya msingi. Wengi watajileta kwa gia ya kusapoti maandamano lakini wanasisitiza vurugu. Tuwakatae.
 
Sawa dingiriii😄😄😄.
Kwamba ubaya ubaya.
Hakuna kufa kizembe bablai
 
Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani.

Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience.

Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, maga Hiri ,ofisi za CCM ofisi za kata ndo kilifanya Dunia nzima itupe macho yake Kwa Tanzania.

So 09/12 vijana tusitoke kizembe, tujihami, polisi akileta ujinga hasitoke salama.

Kwa Arusha tulifanikiwa saaana, now tunajipanga kukinukisha tena Arusha.

Mto wa Mbu,
Katibu-hamasa wa Maandamano
Illinois -USA
[email protected]
Maandamano yako palepale
 
1762754759807.jpg
 
Anzeni kuiba kariakoo kwenye maduka ya watu muone Kati ya uhai na Mali mnazoiba kipi ni bora
Lengo sio wizi, uhalifu. Ni amani, haki, utawala bora kwa kila mtu.

Lengo ni kuikomboa nchi kutoka genge lenu na machawa kama wewe. Tuiweke nchi kwa watu wazalendo, waadilifu, waaminifu kama kina Nyerere, Warioba.
 
Nyerere ndio msingi wa umaskini na ujinga kwenye hii nchi
 
Nyerere ndio msingi wa umaskini na ujinga kwenye hii nchi
Kuna vitu vichache sana alikosea kama mtu yoyote ila amejenga hili taifa na utaifa. Hatubaguani kuhusu dini, kabila, kanda.

Hakuwa mwizi, jambazi, jangili, mtekaji, mtesaji na muuaji kama Samia.
 
Baba tatizo watakaokufa ni wabongo wa hapa Bongo we uko zako Illinois US
 
Kuna vitu vichache sana alikosea kama mtu yoyote ila amejenga hili taifa na utaifa. Hatubaguani kuhusu dini, kabila, kanda.

Hakuwa mwizi, jambazi, jangili, mtekaji, mtesaji na muuaji kama Samia.

huyo mzee alipoteza watu wengi sana kama hujui mkuu. Taifa gani alilolijengwa kwa kuliacha kwenye janga la umskini wa kutupwa?
 
huyo mzee alipoteza watu wengi sana kama hujui mkuu. Taifa gani alilolijengwa kwa kuliacha kwenye janga la umskini wa kutupwa?
Taifa la watu wenye maadili, uaminifu na uzalendo mkubwa kwa Taifa.

Kidogo alikosea kwenye sera moja au mbili. Lakini aliunda taasisi nyingi nzuri, imara kusaidia Wananchi kuondoa umaskini.

USSR ilipokufa, masharti ya IMF, world bank ndiyo yalitutupa kwenye umaskini mkubwa.
 
Kweli kabisa! Kujihami muhimu na Polisi wanapaswa kupewa salamu nyingi sana!
 
Back
Top Bottom