Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Habari za usiku huu
Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao.
Pamoja na kwa namna tofauti kupata sapoti ya dola ya Kenya, bado waliuawa na hawakuweza kumn'goa Rais.
Nepal hapo tumeambiwa ni ndani ya saa 36 tu wameng'oa utawala wa kifisadi wa nchi hiyo licha ya awali kutishwa na vyombo vya dola.
Najiuliza tu, huenda majeshi ya kiafrika ni imara sana au katili sana kiasi cha kumudu kudhibiti ukinzani wowote.