Gen Z wa Nepal Vs Gen Z wa Kenya; ina maana majeshi ya kiafrika ni imara au katili?

Gen Z wa Nepal Vs Gen Z wa Kenya; ina maana majeshi ya kiafrika ni imara au katili?

Kibodi woriazi mitandaoni mnakuwa wakali kama nyuki ila mkiambiwa zima data muongeze jahazi offline mnaanza kujiliza kama nzi.
Yani nimeshangazwa na ujasiri wake wa kwenye keyboard. Anatufaa sana kwenye real life 🤠
 
Kilichowasaidia Gen Z wa Nepal ni Jeshi kuwa upande wao, maana ilifika muda jeshi likaingia pale mwanzoni kuzuia askali kuwapiga raia…, na ukiangalia video utaona wanajeshi wapo ikulu kuzuia askali au chombo chochote kuwapiga raia wakati Gen Z wakizama ikulu kuvunja vunja vitu..,.ila Gen Z ya kenya haikupata support ya Jeshi.
Ndio maana nimauliza pengine majeshi yetu ya kiafrika ni imara au katili kiasi cha kutotaka kuungana na raia dhidi ya udhalimu. Kingine ninachoona ni kuwa viongozi wengi wa kiafrika wanaapply sana divide and rule ndio maana wanafanikiwa kwenye hila zao
 
Watu laki 5 ni wengi sana unahitaji watu 100 tu
Yes me naona shida ni nani awe wa kwanza kutoka 🤣 ujue ukiona watu wengi hata ww utahamasika. Shida nani atajitoa muhanga kuongoza hayo maandamano??
 
Wengi wanaojifanya wanapenda mabadiliko ndo kwanza washafika maofisini. Aminini kikinuka ndo tunaanza na nyinyi, wengi mnaponda wanasiasa tambueni nyinyi ndo mizizi ya ufisadi.
Unakuta pumbavu moja lipo halmashauli Kwa kubebwa siku mbili tatu linanunua gari kupitia wizi. Sio hatuoni tunasitiliana tu. Siku tukichoka mtafute vichaka vya kujificha manyang'au nyny.
Kaka una misplaced anger. This shit aint sit well.
 
Yani nimeshangazwa na ujasiri wake wa kwenye keyboard. Anatufaa sana kwenye real life 🤠
Bro, Gunshot aftermath reactions in real life is totally different from the movies

The activist in the US became lifeless in just a second after the shot
 
Habari za usiku huu

Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao.

Pamoja na kwa namna tofauti kupata sapoti ya dola ya Kenya, bado waliuawa na hawakuweza kumn'goa Rais.

Nepal hapo tumeambiwa ni ndani ya saa 36 tu wameng'oa utawala wa kifisadi wa nchi hiyo licha ya awali kutishwa na vyombo vya dola.

Najiuliza tu, huenda majeshi ya kiafrika ni imara sana au katili sana kiasi cha kumudu kudhibiti ukinzani wowote.
People don't realize that they have it so good here. That doesn't mean nothing should happen. If anything should happen, it should be that every single third world country should collectively sanction the US and Europe until the US and Europe fall to their knees.
 
Ushasema wamemtoa mubaraki unauliza tena kitu gani kimebadirika
Usifuge mbwa kutegemea mavi ya mlevi. Mnahamasisha maanadamano mkitegemea watoto wa wenzenu ndiyo WAKINUKISHE, halafu nyinyi mwasubiri taarifa ya habari kwenye TV na mitandao ya jamii.

Shida siyo kumtoa Mubarak, bali ni kubadili mfumo wa Misri ambayo ma Rais lazima wawe wanajeshi.

Kama una elimu kidogo soma historia ya Misri kuanzia mwaka 1954 uone akina Mohamed Naguib, Gamal Abdel Nasser, Anwar Sadat, Mubarak, Morsi and then Al Sisi. Utaniambia kwa nini katika miaka zaidi 70 Rais ambaye siyo mwanjeshi ni Morsi tu
 
Misri baada ya kuondoka kwa Mubaraki imeshamiri kidemokrasia na kiutalii, kabla ya Mubarik Misri ilikuwa inapokea watalii wasiozidi 10m ila sasa hivi inapokea mpaka watalii 20m kwa mwaka.

Misri ya sasa kamwe huwezi kuilinganisha na tanzania ya ccm inayoongozwa na samia.

Misri ya sasa serikali inawaheshimu sana wanainchi wake na huwezi kukuta watoto wa viongozi wanachezea maburungutu ya hela za walipa kodi.
 
Sio uimara wa majeshi; ni uoga wa wananchi. Wewe unadhani watu hata laki tano tu wakiamua kuingia barabarani ili kuing’oa Serikali dhalimu ya CCM, kuna jeshi linaloweza kuiokoa hiyo club ya majambazi? Kwanza JWTZ halina mandate ya kupigana vita dhidi ya Wananchi.
Ila jamiiforum siku hizi imejaa watu akili kisoda.Sasa mtu anauliza juu ya yaliyofanyika Kenya na huko kwingine,wewe unarukia Tz!.
 
Sio uimara wa majeshi; ni uoga wa wananchi. Wewe unadhani watu hata laki tano tu wakiamua kuingia barabarani ili kuing’oa Serikali dhalimu ya CCM, kuna jeshi linaloweza kuiokoa hiyo club ya majambazi? Kwanza JWTZ halina mandate ya kupigana vita dhidi ya Wananchi.
Nipe namba ya kulipia bili ya milo yako yote na vinywaji utakavyokula wiki nzima. Vijana positive wapo wachache sana miaka hii. Wengi ni makuruta wa umasikini na uzembe katika jina la ustaarabu.
 
Kibodi woriazi mitandaoni mnakuwa wakali kama nyuki ila mkiambiwa zima data muongeze jahazi offline mnaanza kujiliza kama nzi.
Kuna brain power na body power kila mtu ajaze alipojaliwa. Kuna watu ukiwapa mic 🎤 hawezi kuongea chochote anatetemeka,ukimpa keyboard ⌨️ anaishia kusema "Kazi kweli kweli" hana vya kusema. Ila ukimwambia ingia barabarani then haogopi kusonga hata askari awe amevaa vest ya mabomu ya kujilipua na makombora yeye atataka apishwe na atamtoa askari nishai atake asitake atampisha.

So tusimamie pale mtu anapoweza zaidi hatuwezi sote kuwa eneo moja.
 
Hao nepal ni hatari hadi wakenya wenyewe wameduwaa.
Naskia Gen Z wa Kenya wanataka kukiwasha tena ila safari hii wanamalizana kabisa na serikali wanaandika katiba mpya.
 
Violence ikiwa juu, Rais ana Mandate ya Kumobilize Security Organs zote ku combat hio criminality
Wewe sheria ya ulinzi wa taifa unaifahamu vema?

Polisi ndio wanaweza kupangiwa majukumu ya kudhibiti raia ila JWTZ ni jeshi la wanainchi. Wanainchi kwa wingi wakionesha kumkataa raisi aliyepo then jeshi lao linalazimika kuwaunga mkono kuwatoa na raisi hana ruhusa ya kuliamrisha kuwadhibiti raia, Jeshi la wanainchi halipambani na wanainchi linawalinda.
 
Wengi wanaojifanya wanapenda mabadiliko ndo kwanza washafika maofisini. Aminini kikinuka ndo tunaanza na nyinyi, wengi mnaponda wanasiasa tambueni nyinyi ndo mizizi ya ufisadi.
Unakuta pumbavu moja lipo halmashauli Kwa kubebwa siku mbili tatu linanunua gari kupitia wizi. Sio hatuoni tunasitiliana tu. Siku tukichoka mtafute vichaka vya kujificha manyang'au nyny.
upo sahihi kabisa yupo ticha mmoja alikua fala tu ghafla akawa afisa kilimo akafisadi mbolea za ruzuku akapata pesa nyingi sana alivyoingia jpm akawa wa kwanza kumponda na kawa mpinzani ili akiguswa aseme anasumbuliwa kisa mpinzani
 
Uko sahihi lakini maandamano yamebeba mambo mengi sana Kuna Vandalism unakuwa in place pia kwa kigezo cha Maandamano, Hapo Juu nimetoka statement kuwa inafika time haya Mambo yanakuwa na Blessings na Hierarchy au Elites team behind the scene kutoka kwenye security organs na Ndio inafika muda hakuna tena order inayotolewa Ili kupunguza casualties na kuruhusu Serikali iliyopo iwe overthrown, It's a Well Coordinated and Plotted Move
Vandalism mkiona mtu anaiba si mnamuunganisha kwenye mkong'oto? Yaani mshindwe kumuadabisha mtu au watu ambao wanafanya uhalifu?
 
Ushasema wamemtoa mubaraki unauliza tena kitu gani kimebadirika
Hawa ndio sampuli ya watu wanaotia mimba mademu kisha wanakimbia sababu ya uoga. Sasa mtu anauliza nini kimebadilika na anaona kabisa regime ya wahuni imetolewa nje ya serikali,maswali gani ya kipuuzi hayo.
 
Misri baada ya kuondoka kwa Mubaraki imeshamiri kidemokrasia na kiutalii, kabla ya Mubarik Misri ilikuwa inapokea watalii wasiozidi 10m ila sasa hivi inapokea mpaka watalii 20m kwa mwaka.

Misri ya sasa kamwe huwezi kuilinganisha na tanzania ya ccm inayoongozwa na samia.

Misri ya sasa serikali inawaheshimu sana wanainchi wake na huwezi kukuta watoto wa viongozi wanachezea maburungutu ya hela za walipa kodi.
Haya huwa hawayaoni sababu ya ukoko wa kuishi kwa manyanyaso na uonevu kwenye akili zao za praise team.

Jitu linakuwa jinga chronically hadi haki linaona ni option na ni haramu kupewa
 
Wengi wanaojifanya wanapenda mabadiliko ndo kwanza washafika maofisini. Aminini kikinuka ndo tunaanza na nyinyi, wengi mnaponda wanasiasa tambueni nyinyi ndo mizizi ya ufisadi.
Unakuta pumbavu moja lipo halmashauli Kwa kubebwa siku mbili tatu linanunua gari kupitia wizi. Sio hatuoni tunasitiliana tu. Siku tukichoka mtafute vichaka vya kujificha manyang'au nyny.
Mkuu ubarikiwe sana kwa kuwasilisha mawazo yangu..

Binafsi nimekuwa nikisema watumishi wa serikali ni moja ya kikwazo kuelekea kupata ukombozi wa taifa hili..

..Watumishi wa serikali karibu wote ni pro-government wanampenda sana Samia na serikali yake kwa sababu amewaruhusu wafanye ufisadi kadri wawezavyo, reje kauli ya raisi aliyoisema kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake ila asivimbewe.

Watumishi wa serikali ambao kwa nchi hii nafikiri wako takribani milion moja, wanaisapoti serikali ya samia na wanatamani huyo Samia akae madarakan hata kwa zaidi ya miaka kumi hili waendelee kuiba kodi za wanainchi wanunue magari na kujenga flemu na zaidi ya hapo wanafanya kazi bila hofu ya kuwajibishwa hivyo hata pale wanapofanya uzembe makazini.

Hivyo basi wakati tunawaza kumtoa Samia kwa nguvu ya umma kumbuka kwenye huo huo uma kuna watu wana msapoti ambao ndio hao watumishi, hapo ndio ugumu unapoanzia.

Ila naamini muda uko karibu wa kuona mageuzi ya kihistoria kwenye taifa letu.
 
Back
Top Bottom